DOCHA
@ALugandu
Digital Marketing || Marketer || Brand promoting || @ManCity || @SimbaSCTanzania || @FCBarcelona||Content creator|| Driver || Ambassador @Pichanzurii
ID:1249594614543200257
13-04-2020 07:06:01
268,9K Tweets
56,0K Followers
7,4K Following
Nafasi ya vijana katika uchaguzi ni ndogo.Jamii yangu inamtambua mtoto wa kike kama mtu asiye na thamani, wanamchukulia kama bidhaa.Hadi kwenye uchaguzi tunabaguliwa~|Loveness Athman kutoka Nzega,Tabora
#MwanamkeNaUongoziTZ
Women Fund Tanzania Trust
TGNP
Kwenye vijiji vipo 11915 wanawake ni 246 sawa na 2%.
Wenyekiti wa serikali za mitaa 3643 wanawake ni 528 sawa na 12.6
Wenyekiti wa vitongoji 62612 wanawake 4171 sawa na 6.7%~|Victoria Lihiru
#MwanamkeNaUongoziTZ
Women Fund Tanzania Trust
TGNP
Tuna madiwani 1000 na meya anapatikana kwa kupigiwa kura na madiwani.
Je wanawake huwa hawajitokezi kugombea au wakijitokeza wanashindwa?
~|Willium Maduhu
#MwanamkeNaUongoziTZ
Women Fund Tanzania Trust
TGNP
📍Mradi wa Maji Chemchem
➡️Mradi huo unajumuisha tanki lenye ujazo wa lita 135,000 na vituo 14 vya kuchotea maji.
➡️Ujenzi umesikia 85% na ukikamilika utanufaisha wananchi 6,010 wa Kijiji cha Chemchem.
#MamaYukoKazini anatekeleza miradi ya maji ili kuleta ahueni kwa kina Mama.
Baadhi ya vifungu vya #SheriaYaNdoa vinambana mtoto kutoka baada ya kuingia hali inayopelekea kukosa haki zake za msingi na kubakia mtumwa kwenye #NdoaZaUtotoni
Leo kaa tayari kufahamu
▪︎ Logo ya wiki ya Azaki
▪︎ Kauli mbiu
▪︎Itafanyika wapi na tarehe ngapi
#CSOWeek2024Launch
“Mwaka huu #WikiYaAzaki2024 tumejipanga na tunakuja kitofauti , tutakua na podcast panel na tutazindua podcast yetu ya Azaki tuongee “ Prudence Gloria
#CSOWeek2024Launch
Timberland Boot 🥾
Size: 40-45
Bei: 95,000/= badala ya 120,000/=
📞: 0693688961
WhatsApp: 0743931620
DM Dream_ online shop.
IPHONE 8 PLUS (Pre-owned) ✨
RAM: 3gb , ROM: 256gb
Fingerprint & True tone ✔️
Warranty: 6 months
🔋: 100% , E-Sim ✔️
Tsh.360000/=
📞 : 0687600847
🔗 WhatsApp: wa.me/message/MD5MUZ…
Exchange ✔️
📍China Plaza, Kariakoo
Kindly repost 🙏
#kkoomodern #iPhoneKariakoo
Mchakato wa Dira2050 Ya Maendeleo imejikita katika sehemu kuu Nne ambazo
1. Utambuzi wa Stakeholders
2. kuchukua Maoni na kuyachuja
3. Maamuzi ya Serikali (Idhini ya Bunge)
4. Utelekezaji Wa Dira
Ismail Biro #WikiYaAzaki2024
Mchakato wa Dira2050 Ya Maendeleo imejikita katika sehemu kuu Nne ambazo
1. Utambuzi wa Stakeholders
2. kuchukua Maoni na kuyachuja
3. Maamuzi ya Serikali (Idhini ya Bunge)
4. Utelekezaji Wa Dira
Ismail Biro #WikiYaAzaki2024