Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profileg
Tanzania Abroad TV

@AbroadTanzania

Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected]

ID:1363848043540459524

linkhttps://youtube.com/@TanzaniaAbroadTV?si=Ai4Xf_GRgpnxxjOH calendar_today22-02-2021 13:48:21

19,2K Tweets

63,2K Followers

116 Following

Follow People
ASTRA(@TzAstra2014) 's Twitter Profile Photo

Usikopeshe! Ndugu au marafiki, unapowapa wao wanajali yao kuliko kurejesha pesa! Wape muda hata Mwaka bado hawatarejesha! Visingizio vingi sana!Kila mtu atakwambia nasomesha!Mtoto anaumwa! Na wanadhani ni jambo rahisi! Nimewapa ndugu zangu wanne laki 3 kila mtu hakuna anayelipa

account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Lissu aseme anataka gari aina gani tutamchangia
Watanzania wapo 30M wanao support anachofanya Lissu
Kila mmoja akichanga sh 5000 tu linapatikana gari Hilo ! Japo wengine Kama Mimi ntachanga 2M Kama kukikwekwa utaratibu
Pia naye ni binadamu hatakuwa comfortable nalo Hilo gari

account_circle
Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hii gari haipaswi kutengenezwa hata kidogo.Inapaswa kubaki kama kumbukumbu, ili watoto/wajukuu wetu waweze kukumbuka sacrifice za wazazi wao ktk kupigania demokrasia. Tunaweza kabisa kumtafutia Mh Lissu gari nyingine na imara kwa ku pledge only our very small donations na gari

Hii gari haipaswi kutengenezwa hata kidogo.Inapaswa kubaki kama kumbukumbu, ili watoto/wajukuu wetu waweze kukumbuka sacrifice za wazazi wao ktk kupigania demokrasia. Tunaweza kabisa kumtafutia Mh Lissu gari nyingine na imara kwa ku pledge only our very small donations na gari
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Top 10 dribblers without Jay Jay Okocha isn't a list...

Okocha will make a top 5 of a global list of dribblers and not this top 10 of South American dribblers with a touch of Europe list.

Top 10 dribblers without Jay Jay Okocha isn't a list... Okocha will make a top 5 of a global list of dribblers and not this top 10 of South American dribblers with a touch of Europe list.
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

“Eunice ametamba mjini. Robot ya mchongo sana, upigaji wa fedha za umma. Baada ya pale Robot Eunice anaenda kutumika wapi? Anachangia Nini kwa nchi? Uwepo wa robot Eunice ndiyo kukua kwa Teknolojia nchini? Imetumika fedha kiasi gani kutengeneza Robot Eunice?”Mhe. Gilang'hinda B.

Live: Matarajio ya kutatua, Waziri Mkuu wa Uhispania anasema Madrid itaitambua Palestina pekee katika harakati za pamoja
dlvr.it/T71bQB

account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Putin asema hakuwa na mpango wa kuichukua Kharkiv bali mpango ulikuwa ni usalama wa Urusi ! Hii imekuja baada ya wana diplomasia kuuliza Mpango Wake wa kuichukua Kharkiv! Pia amemlaumu Rais wa Ukraine Bwana Zelenskyy kwamba hana uhalali wowote wa kuongoza Ukraine Kwakuwa

hili gari liende likapakiwe makao makuu ya chama kuonesha safari ya ukombozi wa pili wa Tanganyika. Na yale wanaopitia viongozi wetu zidi ya mkoloni mweusi CCM.

ORODHA YA WABUNGE WANAOPASWA KUPUMZIKA 2025
1. Ummy Mwalimu
2. Akson Tulia
3. Juma Aweso
4. Ndugai Job
5. Salma kikwete
6. Kibajaji
7. Damas Ndumbaro
8. January Makamba
9. Mrisho Gambo
10.Jason Rweikiza

MWISHO KABISA NA RAIS APUMZIKE

ONGEZA ORODHA YAKO MAANA WAPO WENGI

account_circle