Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profileg
Ali Kamwe

@AliKamwe

@Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License C

ID:1214053558984667136

calendar_today06-01-2020 05:19:17

672 Tweets

358,5K Followers

99 Following

Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Kama Bosi wako ni KOLO na unataka kumtambia Leo.. Njia rahisi ni hii.. Msogelee na umwambie kwa herufi kubwa .. ππ€π‰πˆπ•π”ππˆπ€ πŠπ”π…π€ππ˜π€ πŠπ€π™πˆ πŠπ–π„ππ˜π„ πŽπ…πˆπ’πˆ ππˆππ†π–π€ πŠπ€ππˆπ’π€π€πŸ€©

30X .. πŸ†πŸ”°

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Mwaka Huu Young Africans SC Tutaweka rekodi ya Kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu kwa 𝐌𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ .. In Shaa Allah

Mlishawahi kuona/kusikia Party za Ubingwa Lakini Jambo Nawahakikishia Wananchi.. PARTY YA UBINGWA YA MWAKA HUU DUNIA ITASEMAAAAA πŸ”°πŸ‘ŠπŸΌ

πŸ™ŒπŸ»

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Biloko Yakolia .. Maana yake β€œMakolo Yatalia”

Msiwasumbue Tena Azam TV kutaka kujua Maana yakeπŸ”°πŸ˜€

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Sisi Yanga tunaiheshimu sana Simba .. Ni Timu Tishio kweli.. Hata yule Jobe huwa Tunamuona kama Halaand… Ni vile tu habani Nywele

Mechi Ngumu sanaπŸ‘΄πŸΎ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨Robo ya kwanza ya Tiketi za VIP B kwenye pambano la Kariakoo Derby, zimeshanunuliwa 🏟️

Iko Moto sana..πŸ™Œβœ…

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨TIKETI ZA VIP A KWENYE β€˜KARIAKOO DERBY’ ZIMEBAKI 50 TU

Kama Unapenda kukaa Jukwaa la VIP A siku ya Jumamosi wahi sasa hivi Kukata Tiketi yako Mwananchi 🏟️

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

🚨Ndani ya siku 1 baada ya Viingilio vya Kariakoo Derby Vitangazwe .. TIKETI 115 za π•πˆπ 𝐀 zimeshanunuliwa

🏟️

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Nimemuomba Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Kwenye Kilele cha Wiki ya Wananchi kuufungua Msimu wa 2024/25 Apambane Atuletee Mamelodi Sundowns

Sisi na Wao Bado Hatujamalizana..

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Yanga Vs Malelodi Sundowns.. Mechi Kubwa zaidi Barani Afrika kwenye Hatua ya Robo Fainali.

DaimaMbele Nyuma MwikoπŸ”°βœŠ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Ndio Nimejua Leo .. Tukimla mtu 5 kumbe Makolo wanaona Wivu kweli .. Yaani Wanaumia mno πŸ˜€

Kweli Viko vya kushea sio …………..πŸ˜€πŸ™Œ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Timu tunazoweza kukutana nazo Robo Fainali ya CAF CHAMPIONS LEAGUE

1: Mamelodi Sundowns
2: Asec Mimosas
3: Petro de Luanda

Mechi ya kwanza ya Nyumbani itachezwa kati ya Machi 29-31.

Young Africans SC Tuko Tayari πŸ”°βœŠ

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Samahani Nilizima tukiwa Hatua ya Makundi kama Makolo, nimezinduka naona Young Africans SC tuko Robo Fainali na wakubwa wenzetu kina Mamelodi Nini kimetokea kwani?

Samahani Nilizima tukiwa Hatua ya Makundi kama Makolo, nimezinduka naona @YoungAfricansSC tuko Robo Fainali na wakubwa wenzetu kina Mamelodi Nini kimetokea kwani?
account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Baada ya majadiliano ya muda mrefu na Rais Eng Hersi Said, Leo mdhamini na Mfadhili wa Young Africans SC GHALIB SAID MOHAMMED β€˜GSM’ AMEKUBALI KUJENGA UWANJA WA KISASA WA YANGA, Makao Makuu ya Klabu, Jangwani 🏟️

Wananchi Leo Sokoine wimbo ni mmoja Tu .. GSM GSM GSM 🀩

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa Young Africans SC Umetoa Zawadi kwa Wanachama wote watakaojiandikisha kwenye Mfumo wa Kidigitali, Leo hapa Bukoba, Watapata Fursa ya kwenda kuangalia Mazoezi ya mwisho ya Timu yatakayofanyika kuanzia saa 11:30 jioni Kaitaba Stadium.

Usajili Unaendelea Ukumbi wa Linus

account_circle
Ali Kamwe(@AliKamwe) 's Twitter Profile Photo

Enjoy kwa kuwa wa kwanza kusoma/kutazama Habari zote za Klabu yako ya Young Africans SC kupitia YANGA APP iliyofanyiwa marekebisho makubwa.

Epuka Habari za kuokota mitandaoni, Habari sahihi zote ziko kwenye YANGA APP kwa 2000 Tu.

account_circle