Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profileg
Arafat A Haji

@Arafat__AH

Father||CEO @ZIC_Insurance || Vice President @YoungAfricansSC ||Board Member @wrrbtz|| ACI FMA Certified||Views Expressed here are my own,RT~ Read This ||

ID:192613632

linkhttp://www.zic.co.tz calendar_today19-09-2010 17:24:35

65,3K Tweets

74,5K Followers

1,5K Following

Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo



Kama huwezi kuwa daraja hakikisha usiwe kikwazo, kama huwezi kuwashika mkono basi usiwakate mikono, kama huwezi kuwashangilia basi usiwazomee, kama huwezi kuwapongeza basi usiwakatishe tamaa.

account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo



Baada ya mvua kuisha hata Mwamvuli hupoteza thamani na kuonekana mzigo, ni sawa na maisha yetu, thamani yako hupotea pale upotezapo umuhimu wako, kwenye dunia ya mifumo tegemezi, chagua kuwa huru.

account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI alama tatu muhimu dhidi ya Mtani, pongezi kubwa kwa benchi la Ufundi na Wachezaji, jiji limetulia hakuna kelele wala mvua, hali ya hewa shwari na ilikuwa siku maalum kushuhudia mechi ya Kariakoo.

Inasalia mechi muhimu na nzito kwangu kuanzia nikiwa Shabiki jukwaani…

account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo



Hakuna anayekutazama kwa umakini na utulivu kama yule ambaye hakuamini uwezo wako, ukishalitambua hilo hakikisha unawakaribisha kwenye ukumbi wa cinema watazame “show” yako ya ushindi vizuri.

account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo

Hii ya Dodoma Jiji imeisha na haitotokea tena, focus ni mchezo unaofuata kwa nguvu ile ile na utulivu ule ule, heshima kwa wapinzani, nidhamu kama Jeshini, utulivu kama maji mtungini na imani kama safari ya Musa na Wanaisrael.

WANANCHI ni hatua kwa hatua, kuendelea kucheza kama…

account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo

Bwana Mdogo walimsifu ana mbio basi akakimbia mpaka akapitiliza kwao, lakini itamkubusha tunafanana tu ila hatupo sawa.

EID MUBARAK ☪️

Bwana Mdogo walimsifu ana mbio basi akakimbia mpaka akapitiliza kwao, lakini itamkubusha tunafanana tu ila hatupo sawa. EID MUBARAK ☪️
account_circle
Arafat A Haji(@Arafat__AH) 's Twitter Profile Photo



1- Unakosea sana unapojitetea sana kwakuwa Watu husikia kile wanachotaka kusikia pekee.

2- Macho mawili utazame sana, masikio mawili usikie sana ila usisahau mdomo mmoja ili useme kidogo na meno mengi kuzuia usiseme mengi.

3- Msaidie Mtu kisha mpe uhuru aende…

account_circle