Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profileg
Clouds Media

@CloudsMediaLive

A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.

ID:3305347245

linkhttps://www.cloudsmedia.co/ calendar_today01-06-2015 07:17:34

78,3K Tweets

1,6M Followers

44 Following

Follow People
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mchezo wa Nusu Fainali ya CAFCC kati ya RS Berkane ya Morocco dhidi ya USMA ya Algeria umeshindwa kufanyika baada ya klabu ya USMA kugoma kuingia uwanjani.

Ikumbukwe Juma lililopita Shirikisho la soka Afrika (CAF) liliwapa ushindi wa mabao 3-0 Klabu ya RS Berkane dhidi ya USMA…

Mchezo wa Nusu Fainali ya CAFCC kati ya RS Berkane ya Morocco dhidi ya USMA ya Algeria umeshindwa kufanyika baada ya klabu ya USMA kugoma kuingia uwanjani. Ikumbukwe Juma lililopita Shirikisho la soka Afrika (CAF) liliwapa ushindi wa mabao 3-0 Klabu ya RS Berkane dhidi ya USMA…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Simba SC kupitia kwa CEO wake Imani Kajula wamethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake

Kwa sasa Simba itakuwa chini ya Juma Mgunda na Matola hadi hapo Simba itakapotangaza taarifa mpya.

Simba SC kupitia kwa CEO wake Imani Kajula wamethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake Kwa sasa Simba itakuwa chini ya Juma Mgunda na Matola hadi hapo Simba itakapotangaza taarifa mpya.
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Kocha mkuu wa Mamelodi Sundowns Rulan Mokwena amekubali kubeba lawama zote kama kocha baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya CAFCL juzi Ijumaa.

Mokwena amesema
“Matokeo ndio ambayo yanatoa picha kama upo sawa au umekosea ,kipindi hiki ambacho tumepotezq na tumetolewa…

Kocha mkuu wa Mamelodi Sundowns Rulan Mokwena amekubali kubeba lawama zote kama kocha baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya CAFCL juzi Ijumaa. Mokwena amesema “Matokeo ndio ambayo yanatoa picha kama upo sawa au umekosea ,kipindi hiki ambacho tumepotezq na tumetolewa…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameagiza kupandishwa Mahakamani kwa watendaji wa Mkoa wa Arusha waliohusika na upotevu na wizi wa Milioni 428 zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF.

Mbele ya wanahabari mjini Arusha, Mkuu wa…

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Mtendaji wa @josephkusaga amefika kijiji cha Kikelelwa, Tarakea wilayani Rombo mahali alipolazwa (Gardner G Habash) kutoa pole kwa familia ya marehemu kufuatia msiba huo mkubwa. Amemueleza baba wa marehemu Mzee Gabriel Habash namna gani…

Mkurugenzi Mtendaji wa #CloudsMediaGroup @josephkusaga amefika kijiji cha Kikelelwa, Tarakea wilayani Rombo mahali alipolazwa #CaptainWaGemu (Gardner G Habash) kutoa pole kwa familia ya marehemu kufuatia msiba huo mkubwa. Amemueleza baba wa marehemu Mzee Gabriel Habash namna gani…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mshambuliaji wa Simba SC , Saido Ntibazonkiza awatolea uvivu mashabiki wanaowasema sana wachezaji wao

“Shabiki anayejua mpira hawezi kukatia tamaa timu yake , wachezaji unaowakatia tamaa ndio hao hao wanaocheza mechi zilizosalia”

“Sisi ndio ambao tutamalizia msimu , kwenye…

Mshambuliaji wa Simba SC , Saido Ntibazonkiza awatolea uvivu mashabiki wanaowasema sana wachezaji wao “Shabiki anayejua mpira hawezi kukatia tamaa timu yake , wachezaji unaowakatia tamaa ndio hao hao wanaocheza mechi zilizosalia” “Sisi ndio ambao tutamalizia msimu , kwenye…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Wakati anasajiliwa ulipigia makofi usajili wake ? baada ya kumuona kwenye michezo ya mwanzo je ? Na kwa anayoyafanya sasa vipi bado hauna imani juu ya uwezo wake ?

FT YANGA 1-0 COASTAL
⚽️ Guede

Wakati anasajiliwa ulipigia makofi usajili wake ? baada ya kumuona kwenye michezo ya mwanzo je ? Na kwa anayoyafanya sasa vipi bado hauna imani juu ya uwezo wake ? FT YANGA 1-0 COASTAL ⚽️ Guede
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika uwanja wa Chamazi hakuna timu iliyopata goli

YANGA 0-0 COASTAL

Upande upi utakuwa wa kwanza kuruhusu goli_____?

Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika uwanja wa Chamazi hakuna timu iliyopata goli YANGA 0-0 COASTAL Upande upi utakuwa wa kwanza kuruhusu goli_____?
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

FIFA imezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani [ USA 🇺🇸]

🇲🇦 Wydad Athletic Club - WAC
🇪🇬 Al Ahly SC
🇹🇳 Espérance Sportive de Tunis
🇿🇦 Mamelodi Sundowns FC

Club Rankings ilivyo kwa…

FIFA imezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani [ USA 🇺🇸] 🇲🇦 Wydad Athletic Club - WAC 🇪🇬 Al Ahly SC 🇹🇳 Espérance Sportive de Tunis 🇿🇦 Mamelodi Sundowns FC Club Rankings ilivyo kwa…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema kesho Tarehe 27 Aprili asubuhi saa 1:00 watafanya matembezi ya Amani ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyopeleka miradi mingi ya Maendeleo Arusha.

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

SportsXtra | @dericklissu

Mchambuzi Lissu amepongeza kurudi kwa kombe la muungano lakini amekosoa utaratibu wa timu zinazoshiriki kuitwa kwa barua.

“Michuano ya Muungano kama ikiendelea kufanyika kila mwaka ,kuna vitu vikibadilishwa itakuwa na maana kubwa sana”

“Waweke wazi…

SportsXtra | @dericklissu Mchambuzi Lissu amepongeza kurudi kwa kombe la muungano lakini amekosoa utaratibu wa timu zinazoshiriki kuitwa kwa barua. “Michuano ya Muungano kama ikiendelea kufanyika kila mwaka ,kuna vitu vikibadilishwa itakuwa na maana kubwa sana” “Waweke wazi…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

'Mchakato wa Stendi ulianza toka mwaka 2011 ambapo kupitia Halmashauri ilipendekeza maeneo mawili Moshono na Olacity bahati mbaya yalikuwa maeneo ya watu na si Serikali kulipa fidia gharama ilikuwa kubwa zaidi.

Mwaka 2018 na 2019 tukapata eneo la Serikali kupitia mradi wa…

'Mchakato wa Stendi ulianza toka mwaka 2011 ambapo kupitia Halmashauri ilipendekeza maeneo mawili Moshono na Olacity bahati mbaya yalikuwa maeneo ya watu na si Serikali kulipa fidia gharama ilikuwa kubwa zaidi. Mwaka 2018 na 2019 tukapata eneo la Serikali kupitia mradi wa…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema hakupata nafasi kwa upendeleo ila alishinda Uchaguzi na hata mpinzani wake anajua na yupo tayari kurudia uchaguzi.

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

'Ubunge sio ajira ni Utumishi.
Mimi ni Mfanyabiashara na nafanya biashara mbalimbali.' - Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo

'Ubunge sio ajira ni Utumishi. Mimi ni Mfanyabiashara na nafanya biashara mbalimbali.' - Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo #SentroCloudsTv #CloudsTvNiMkataba
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye hutuba ya miaka 60 ya muungano ameongea kwa lugha ya utani kwa kumpa angalizo Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa na timu yake ya Simba kuelekea mchezo wa Fainali wa kombe la Muungano dhidi yq Azam FC

“Timu…

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye hutuba ya miaka 60 ya muungano ameongea kwa lugha ya utani kwa kumpa angalizo Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa na timu yake ya Simba kuelekea mchezo wa Fainali wa kombe la Muungano dhidi yq Azam FC “Timu…
account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa…

Mshambuliaji wa Chelsea raia wa Senegal Nicholas Jackson amenyoa nywele na kubadili muonekano kujiweka sawa kuelekea Mchezo dhidi ya Aston Villa FC

'Naona comment nyingi sana za watu wengine wakinitabiria kifo na wengine kuniambia miaka mitano sifiki zote naziona na zingine naonyeshwa.

Sio rahisi ila sijui nguvu zinatokea wapi na kupambana na hili sababu hata kuna watu wengine wa karibu na Gardner walikuwa na nguvu kama…

account_circle