MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profileg
MR BEN

@Eric__Bernard

Proud To Be Tanzanian,
TANZANIA KWANZA,
Retweets Are Not Endorsements,
Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.

ID:2877409326

calendar_today25-10-2014 23:15:37

265,5K Tweets

438,1K Followers

5,1K Following

Follow People
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

PICHA :ULEGA NA SHEMDOE BUNGENI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Riziki Shemdoe wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha wa 2024 /2025 Leo tarehe 14, Mei 2024.

PICHA :ULEGA NA SHEMDOE BUNGENI Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akiambatana na Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Riziki Shemdoe wakiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha wa 2024 /2025 Leo tarehe 14, Mei 2024.
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Leo ni uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha wa 2024 /2025. Waziri Abdallah Ulega akiwasili Bungeni.. Leo Wavuvi na Wafugaji wanaenda kusikia makubwa Serikali ya Rais Samia inaenda kuwafanyia!!

Mkurugenzi wa Taasisi ya MOI Prof. Abel Makubi ametoa ufafanuzi namna Roboti itakua inafanya upasuaji.. Anasema wananchi tusiogope Roboti itakua inasaidiwa na Daktari..!

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Mimi kazi yangu jana ilikua kuwaingiza kwenye mfumo wa kupush ajenda bila kujijua mmefanya kazi nzuri sana Ndolezi 😂

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Leo Mama Kanisa anaadhimisha kumbukumbu ya Mtakatifu Matias, Mtume.Matias alikuwa mmoja wa wafuasi Sabini na wawili wa Bwana wetu. Alifuatana naye katika safari zake huko Uyahudi. Aliyasikiliza mafundisho yake,alikuwa shahidi wa matendo yake,na wa ufufuko wake. 🙏

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Leo Tunasali Matendo ya Uchungu, tunaendelea na Novena ya Roho Mtakatifu na tunaanza Novena ya Mtakatifu. Rita wa Kashia ambayo tutahitimisha tarehe 22 ambayo Mama Kanisa anaadhimisha kumbukumbu ya Sikukuu yake. 🙏

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

'Amri yangu ndiyo hii, Mpendane, kama nilivyowapenda ninyi. Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake. Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.'(Yn. 15:9-17)

account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Kesho Mzalendo Abdallah Ulega Waziri wa Mifugo na Uvuvi atawasilisha Bajeti Bungeni

Mifugo na Uvuvi ni Sekta inagusa watanzania wengi na inachangia pakubwa uchumi wetu sio ya kukosa hii kufatilia!!

Kesho Mzalendo Abdallah Ulega Waziri wa Mifugo na Uvuvi atawasilisha Bajeti Bungeni Mifugo na Uvuvi ni Sekta inagusa watanzania wengi na inachangia pakubwa uchumi wetu sio ya kukosa hii kufatilia!!
account_circle
MR BEN(@Eric__Bernard) 's Twitter Profile Photo

Unakunywa Bia na Jamaa anakupa story za kukutia hasira...anakwambia dogo nimeanza kazi 1999 na mshahara wa kwanza Nilikua nalipwa Dola 1300!😂

account_circle
Seif Haruna Iddy(@seif_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Tafiti katika sekta ya afya ni jambo ambalo haliepukiki ni Lazima!

Tiba haiwezi kutolewa kwenye jambo ambalo halijafanyiwa uchunguzi wa kina.

Tunashukuru Waziri Mhe. Ummy Mwalimu, MP kwa kuliweka vyema jambo hili.

account_circle