HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profileg
HakiElimu

@HakiElimu

A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.

ID:243172143

linkhttp://www.hakielimu.or.tz calendar_today26-01-2011 13:24:26

12,5K Tweets

156,7K Followers

616 Following

HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

📅 Mark your calendars! The Coalition for Good Schools - Africa Hub Coalition for Good Schools invites you to a webinar on preventing school violence. Learn from diverse experiences and innovative interventions. Register now bit.ly/4aBhmKT

📅 Mark your calendars! The Coalition for Good Schools - Africa Hub @forgoodschools invites you to a webinar on preventing school violence. Learn from diverse experiences and innovative interventions. Register now bit.ly/4aBhmKT
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️Serikali, Wazazi na Jamii kwa ujumla tuwawezeshe wanafunzi wa kike kujihifadhi katika kipindi cha hedhi.
▪️Video ya mwanafunzi wa klabu ya jinsia wa Shule ya Msingi Mwisenge A iliyopo Musoma akishona taulo za kike za kufua (sodo) ambazo huzigawa kwa wanafunzi wenye uhitaji.

account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️ Neema Msangi kutoka Children Rights Women Fund Tanzania anajibu swali letu la mwezi huu. Kwa nini shule salama ni muhimu?

▪️ Neema Msangi kutoka Children Rights Women Fund Tanzania anajibu swali letu la mwezi huu. Kwa nini shule salama ni muhimu? #Nitamlinda
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi mmoja kati ya watatu hukatiliwa shuleni kila mwezi, na unyanyasaji mtandaoni umesambaa kote ulimwenguni (UNESCO, 2019). Takwimu hizi zinaonyesha kuna tatizo kubwa katika kujifunza na ustawi wa watoto wetu. Shule salama zinapaswa kuwa kipaumbele cha kila mzazi na

▪️ PROVISION OF EXTERNAL AUDIT SERVICES
🔹Interested consultants should submit technical and financial proposals to 𝐩𝐫𝐨𝐜𝐮𝐫𝐞𝐦𝐞𝐧𝐭@𝐡𝐚𝐤𝐢𝐞𝐥𝐢𝐦𝐮.𝐨𝐫.𝐭𝐳
🔹Deadline: 7 June 2024
🔹Download Terms of Reference (TOR) at shorturl.at/xfXyv

▪️ PROVISION OF EXTERNAL AUDIT SERVICES 🔹Interested consultants should submit technical and financial proposals to 𝐩𝐫𝐨𝐜𝐮𝐫𝐞𝐦𝐞𝐧𝐭@𝐡𝐚𝐤𝐢𝐞𝐥𝐢𝐦𝐮.𝐨𝐫.𝐭𝐳 🔹Deadline: 7 June 2024 🔹Download Terms of Reference (TOR) at shorturl.at/xfXyv
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nimeshirikiana na Msichana Initiative kuandaa Semina kati ya Jukwaa la Hedhi Salama na Wabunge kutoka Kamati za Bajeti na Afya; na Wabunge Vinara wa Wanawake ktk Siasa ambapo tumejadili kwa wanafunzi kwa kuzingatia Serikali ilishatoa Kodi lakini bei haikushuka.

Nimeshirikiana na @MsichanaUwezo kuandaa Semina kati ya Jukwaa la Hedhi Salama na Wabunge kutoka Kamati za Bajeti na Afya; na Wabunge Vinara wa Wanawake ktk Siasa ambapo tumejadili #PediBilaKodi #PediBure kwa wanafunzi kwa kuzingatia Serikali ilishatoa Kodi lakini bei haikushuka.
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️ A Safe School is important because, apart from being a place for a child to receive education, it is also a crucial area for the upbringing and development of the child throughout their growth journey. If this place is unsafe, it will greatly affect the child's personal

Sweden in Tanzania(@SwedeninTZ) 's Twitter Profile Photo

📚✨ Children who receive quality early childhood education before age 5 are more likely to excel in reading & math by the end of primary school. Investing in early learning is crucial! 🌟

learn more about Global Partnership for Education in Tanzania
shorturl.at/mS2I9

📚✨ Children who receive quality early childhood education before age 5 are more likely to excel in reading & math by the end of primary school. Investing in early learning is crucial! 🌟 #EarlyEducation learn more about @GPforEducation in Tanzania shorturl.at/mS2I9
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️ Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu, tunapenda kutoa shukrani kwa Ndugu Daniel Mugizi kwa mchango wako katika kipindi chote cha utumishi kama Afisa Programu wa Idara ya Utafiti, Sera na Ufumbuzi.
▪️ Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya.

▪️ Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la HakiElimu, tunapenda kutoa shukrani kwa Ndugu Daniel Mugizi kwa mchango wako katika kipindi chote cha utumishi kama Afisa Programu wa Idara ya Utafiti, Sera na Ufumbuzi. ▪️ Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya.
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️ Angelus Runji kutoka Action Aid Tanzania anatueleza umuhimu wa kila shule nchini kuwa na mpango mahususi wa shule salama.

▪️ Angelus Runji kutoka Action Aid Tanzania anatueleza umuhimu wa kila shule nchini kuwa na mpango mahususi wa shule salama.
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

▪️ Keneth Nchimbi kutoka Mtandao wa Elimu nchini (TEN-MET) anatueleza madhara yanayoweza kuwapata wanafunzi endapo haitakuwa na Mpango Mahususi wa Shule Salama.

▪️ Keneth Nchimbi kutoka Mtandao wa Elimu nchini (TEN-MET) anatueleza madhara yanayoweza kuwapata wanafunzi endapo haitakuwa na Mpango Mahususi wa Shule Salama. #Nitamlinda
account_circle
HakiElimu(@HakiElimu) 's Twitter Profile Photo

Thrilled to share HakiElimu's work on youth engagement in democracy at the 2024 UN CSO Conference in Nairobi - Kenya! Presented by our Executive Director, Dr. John Kalage (left in photo).

Thrilled to share HakiElimu's work on youth engagement in democracy at the 2024 UN CSO Conference in Nairobi - Kenya! Presented by our Executive Director, Dr. John Kalage (left in photo). #HakiElimu #VijananaDemokrasia #TaifalaLeo
account_circle