Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profileg
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š

@McinikaWaLamar

Social Media GURU | Thinker Tank | Content Creator

ID:2341919865

linkhttps://linktr.ee/McinikaWaLamar calendar_today13-02-2014 19:51:32

223,0K Tweets

758,6K Followers

1,9K Following

Follow People
Esi Lovey Sebastian(@Esilovey) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka ukae zako kwa amani, TRUST NOBODY with your secrets, yaani do not show people wewe ni nani, una nini na unapewa raha na kina nani, acha wakubeze, onekana upo upo tu, Watu hawapendi Vizuri, Vyenye Furaha na Maendeleo, The World is Wicked, Omba Mungu kula raha zako KIMYA!

account_circle
abymzigua(@Abyasmzigua) 's Twitter Profile Photo

Huu mkasa bwana, jamaa kaaga kwake anakwenda mkoani. Kwa ajili ya majukumu ya kikazi.

Lakini taarifa hii ni ya uongo. Hakwenda popote. Alikuwa hapa hapa mjini.

Alikwenda hotelini, akaita mdada kwa ajili ya kufanyiwa masaji binafsi.
Huduma ambayo ni ya gharama kidogo. Japo sio

Huu mkasa bwana, jamaa kaaga kwake anakwenda mkoani. Kwa ajili ya majukumu ya kikazi. Lakini taarifa hii ni ya uongo. Hakwenda popote. Alikuwa hapa hapa mjini. Alikwenda hotelini, akaita mdada kwa ajili ya kufanyiwa masaji binafsi. Huduma ambayo ni ya gharama kidogo. Japo sio
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Weekend Amapiano vibes playlist ๐Ÿ”ฅ

1. A Collision of two worlds
2. Tshwala bam
3. Jealousy
4. Bula Nthweo
5. Piano Land
6. Funk 99
7. blueberries
8. mnike
9. Forever yena
10. yey
11 hakuna matata
12. komasava
13. yahyuppiyah
14. midnight prayer
15. paris
16. Hmmh

account_circle
Gaure(@gauremdee) 's Twitter Profile Photo

Ukisikia neno mbuzi๐Ÿ, wengi moja kwa moja wanajua ni kitoweo, nyama choma laini, inakuja na ndizi, kachumbari na pilipili.

Kwenye Fasihi, mbuzi ni kiumbe hakina utulivu, chenye hekaheka mara zote.

๐Ÿanaweza kutumika kwenye mbio, na watu wakavuna mpunga kwa kuwabetia yupi

account_circle
Sonninoโšก(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

; Mnamo Mei 16, Tanzania Media Women ilifanikiwa kuandaa mafunzo kwa waandishi wa habari yenye lengo la kuwajengea uwezo katika utoaji wa taarifa za kiafya. Mafunzo haya yalilenga matumizi ya majukwaa ya kidijitali kusambaza taarifa wakati wa magonjwa ya milipuko na njia

#MediaInScience; Mnamo Mei 16, @TAMWA_ ilifanikiwa kuandaa mafunzo kwa waandishi wa habari yenye lengo la kuwajengea uwezo katika utoaji wa taarifa za kiafya. Mafunzo haya yalilenga matumizi ya majukwaa ya kidijitali kusambaza taarifa wakati wa magonjwa ya milipuko na njia
account_circle
CoCo๐Ÿซ๐Ÿ’ฆ(@YourFrenchFry) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa mjini utaona kama mambo ya hedhi ni very manageable, ila hali ndio kama hii huko vijijini, even WORSE!

Hebu angalia aina ya pedi wanazojitengenezea. They can barely afford a decent pack of pads. Ndio maana pedi hazitakiwi kutozwa kodi.

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Chelsea Vs Bournemouth hii ni game kali sana, hapa tuna enjoy football maana wote hawana cha Kupoteza.

Burudani hii inapatikana kupitia Kisimbuzi cha DSTV ndani ya kifurushi cha POA kwa gharama ya buku teni tuu.

Lipia sasa upate Kushuhudia uhondo huu

Chelsea Vs Bournemouth hii ni game kali sana, hapa tuna enjoy football maana wote hawana cha Kupoteza. Burudani hii inapatikana kupitia Kisimbuzi cha DSTV ndani ya kifurushi cha POA kwa gharama ya buku teni tuu. Lipia sasa upate Kushuhudia uhondo huu #MfalmeWaBoma
account_circle
Sally Brown๐ŸŒท(@officielsalome) 's Twitter Profile Photo

Mie nikiingia kwenye siku zangu naona ndo napata sana mzuka wa kutaka kukutana na shemeji yenu๐Ÿ˜ค.

sasa leo binti mpole amenisaidia kuuliza ni njia zipi zinazoweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya hisia wakati wa hedhi???

Cc Femina Hip

Mie nikiingia kwenye siku zangu naona ndo napata sana mzuka wa kutaka kukutana na shemeji yenu๐Ÿ˜ค. sasa leo binti mpole amenisaidia kuuliza ni njia zipi zinazoweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya hisia wakati wa hedhi??? Cc @FeminaHip #redagenda #mhm2024 #feminahip
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Je, wewe ni mwanamke anayejituma kufikia malengo na ndoto zako?

Akaunti ya Malkia ipo kwa ajili yako ni ya kipekee inayosaidia wanawake kama wewe kuweka akiba kwa malengo maalum. Faida ni pamoja na kutokatwa ada za kila mwezi na miamala, pamoja na mikopo ya dharura hadi 90% ya

Je, wewe ni mwanamke anayejituma kufikia malengo na ndoto zako? Akaunti ya Malkia ipo kwa ajili yako ni ya kipekee inayosaidia wanawake kama wewe kuweka akiba kwa malengo maalum. Faida ni pamoja na kutokatwa ada za kila mwezi na miamala, pamoja na mikopo ya dharura hadi 90% ya
account_circle