Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profileg
Gerson Msigwa

@MsigwaGerson

The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.

ID:2442351383

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today28-03-2014 16:10:15

4,8K Tweets

805,5K Followers

1,4K Following

Follow People
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

“Muungano wetu umetuimarisha zaidi kama Taifa, na kwamba Muungano wa Taifa letu unahitajika leo kama ambavyo tuliuhitaji mwaka 1964” - Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake kwa Wananchi katika kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Sherehe

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

ALHAMDULLILAH
Leo Aprili 25, 2024 tumeanza rasmi safari ya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa kutiliana saini mkataba na kukabidhi eneo la mradi kwa Mkandarasi atakayefanya kazi hii kwa muda wa miezi 12.

Kwa niaba ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza mambo mazito ya Jiji la Arusha kuelekea AFCON2027.

Kudos Mkurugenzi wa Jiji Jumanne Hamsini na timu yako kwa kupokea na kuanza maandalizi haraka iwezekanavyo.

Jiji linahitaji miamba kama wewe na sisi Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo tutafanya kazi bega kwa bega

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

DODODMA ARE YOU READY!!!!!!!

Mwisho wa kusubiri umefika,
Mwanzo wa neema umefika,
Utamu SGR UMEFIKAAAAAAAA!!!!

Safari ya kwanza na ya kihistoria ya treni ya umeme kupitia reli ya kiwango cha kisasa (SGR) kutoka Jiji la Dar es Salaam hadi Makao Makuu ya Nchi Jiji la Dodoma

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Hongera Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
//
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki katika hafla iliyofanyika Chuoni hapo leo tarehe

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Mwanariadha Gabriel Geay keshokutwa kwa mara nyingine atapeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano makubwa na ya Kimataifa ya riadha nchini Marekani yaitwayo Boston Marathon

KILA LA KHERI.

Mwanariadha Gabriel Geay keshokutwa kwa mara nyingine atapeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano makubwa na ya Kimataifa ya riadha nchini Marekani yaitwayo @bostonmarathon KILA LA KHERI.
account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Leo Aprili 06, 2024 tumekabidhi eneo la ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha kwa Mkandarasi ambaye ni kampuni CRCEG.

Dondoo;
1. Uwanja unajengwa katika eneo la Milongoine, Kata ya Olmoti ndani ya Jiji la Arusha.
2. Ujenzi utafanyika kwa muda wa miezi 24.
3. Utakuwa kati ya

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Kishindo kingine kikubwa kutoka @wizara_sanaatz

Hizi hapa Tuzo za Muziki Tanzania (Tanzania Music Awards - TMA) 2023.

ARE YOU READY??????

Asante sana Kamati ya TMA mkiongozwa na Manguli wa Kiwanda cha Muziki, David Mushi, Seven, P Funk, Natasha na wengine kwa kuandaa tuzo

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe wangu kwa Wachezaji baada ya ushindi wa TAIFA STARS wa 3-0 dhidi ya Mongolia hapa Baku, Azerbaijan.

Tuwe na amani, tuna timu nzuri.

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza mazungumzo yangu na Kocha Juma Mgunda na Kiongozi wa Msafara wa Taifa Stars hapa Azerbaijan Dkt. Suleiman Mahmoud Jabir (Rais wa ZFF) baada ya mchezo wa Taifa Stars na Bulgaria.

Mechi ya leo ya kihistoria, ni mechi ya kwanza kwa Taifa Stars kucheza na timu ya Ulaya.

account_circle
Gerson Msigwa(@MsigwaGerson) 's Twitter Profile Photo

Hiki hapa kishindo cha miaka 3 ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika michezo.

Msikilize Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa mpira wa Arusha.

account_circle