NIDA Tanzania(@NIDA_Tanzania) 's Twitter Profileg
NIDA Tanzania

@NIDA_Tanzania

Dhima:Kutoa Kitambulisho kwa Watanzania,Wageni wakaazi na Wakimbizi waishio kihalali Nchini ili kuimarisha Amani na Usalama kwa Maendeleo ya kijamii na kiuchumi

ID:704243321934389249

linkhttp://www.nida.go.tz calendar_today29-02-2016 09:54:26

4,1K Tweets

70,9K Followers

78 Following

NIDA Tanzania(@NIDA_Tanzania) 's Twitter Profile Photo

NIDA imefanikiwa kusajili watanzania 284 wanaoishi nchini Marekani, Uingereza na Uholanzi ambao ni raia wa Tanzania. Usajili wa majaribio ulifanyika katika nchi za Marekani, Uingereza na Uholanzi. Hii ni hatua kubwa ikiwa ni katika kuunga juhudi za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

account_circle
NIDA Tanzania(@NIDA_Tanzania) 's Twitter Profile Photo

Jumla ya Namba za Utambulisho wa Taifa zilizokwisha kutolewa ni 20,832,225 kiasi ambacho ni sawa na asilimia 85 ya watu waliosajiliwa na kutambuliwa. Mamlaka imefanikiwa kuzalisha vitambulisho 20,286,420 sawa na asilimia 97.4 ya Namba za Utambulisho 20,832,225 zilizotolewa.

Kufungua Ofisi za Usajili na Utambuzi kwa kila Wilaya Nchini
Ili kuweza kutoa huduma kwa wananchi wote, Mamlaka imefungua Ofisi katika wilaya mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar. Hadi Februari 2024 Mamlaka imefungua ofisi 153 katika wilaya zote Tanzania Bara na Zanzibar.

Kufungua Ofisi za Usajili na Utambuzi kwa kila Wilaya Nchini Ili kuweza kutoa huduma kwa wananchi wote, Mamlaka imefungua Ofisi katika wilaya mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar. Hadi Februari 2024 Mamlaka imefungua ofisi 153 katika wilaya zote Tanzania Bara na Zanzibar.
account_circle
NIDA Tanzania(@NIDA_Tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imefanikiwa kujenga kituo kikubwa cha kuhifadhi taarifa za watu (Data Centre) na kituo cha uokozi wakati wa majanga (Data Recovery Centre).