Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profileg
Tanzania Unforgettable

@TTBTanzania

Discover the magic of Tanzania with us. Join us on a journey into heart-stopping wildlife, stunning landscapes, and rich culture. #EmbraceTheUnforgettable

ID:704667277929652224

linkhttp://www.tanzaniatourism.go.tz calendar_today01-03-2016 13:59:05

2,3K Tweets

14,8K Followers

359 Following

Follow People
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

The director general of Tanzania Tourist Board Mr. Ephraim Mafuru participated fully in the launch of the film in China 🇨🇳, Tourist Board is ready to promote the Tanzania tourism attractions.

The director general of Tanzania Tourist Board Mr. Ephraim Mafuru participated fully in the launch of the film #AmazingTanzania in China 🇨🇳, Tourist Board is ready to promote the Tanzania tourism attractions.
account_circle
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

“We thank you so much for choosing Tanzania, the Land of Kilimanjaro and Zanzibar” | EPHRAIM MAFURU | Director General Tanzania Tourist Board instagram.com/reel/C6dP4zHoA…

“We thank you so much for choosing Tanzania, the Land of Kilimanjaro and Zanzibar” | EPHRAIM MAFURU | Director General Tanzania Tourist Board instagram.com/reel/C6dP4zHoA…
account_circle
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Jopo la Wataalamu kutoka sekta ya utalii nchini Morocco na jopo la wataalamu wa Sekta ya Wizara ya Maliasili na Utalii nchini wamekutana na kufanya mazungumzo yaliolenga kuimarisha ushirikiano katika kutoa huduma bora za utalii pamoja na kuvitangaza vivutio vya utalii vilivyopo 🇹🇿 na Morocco.

Jopo la Wataalamu kutoka sekta ya utalii nchini Morocco na jopo la wataalamu wa Sekta ya @MNRT_Tanzania nchini wamekutana na kufanya mazungumzo yaliolenga kuimarisha ushirikiano katika kutoa huduma bora za utalii pamoja na kuvitangaza vivutio vya utalii vilivyopo 🇹🇿 na Morocco.
account_circle
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Tanzania and Morocco Embark on Tourism Collaboration Journey!

Tanzania and Morocco on April 29th, 2024, held a significant meeting in Dar es Salaam, 🇹🇿, to establish a strong tourism relationship. The meeting was hosted by Ephraim Mafuru, the DG of Tanzania Tourist Board👇

Tanzania and Morocco Embark on Tourism Collaboration Journey! Tanzania and Morocco on April 29th, 2024, held a significant meeting in Dar es Salaam, 🇹🇿, to establish a strong tourism relationship. The meeting was hosted by Ephraim Mafuru, the DG of Tanzania Tourist Board👇
account_circle
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki atangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua Taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka 2023. Hafla hii imefanyika tarehe 22/04/2024 Jijini Arusha katika Hoteli ya Gran Melia,

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki atangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua Taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka 2023. Hafla hii imefanyika tarehe 22/04/2024 Jijini Arusha katika Hoteli ya Gran Melia,
account_circle
Tanzania Unforgettable(@TTBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Located 7km from Morogoro Town, Kisamvili Culture Camp is a local camp at the top of Uluguru Mountains, from this camp you can have an extraordinary view of Morogoro town and its landscape 😍 will you dare to stay at this camp?

account_circle
Likizo Time(@likizotime) 's Twitter Profile Photo

Kama babe hajawahi kukupeleka vacay, hakikisha mara hii unampeleka wewe. Shiriki challenge ya Likizo Time na ujishindie nafasi ya kulala bure kwe ye hoteli ya kitalii wewe na mpenzi wako.

Kama babe hajawahi kukupeleka vacay, hakikisha mara hii unampeleka wewe. Shiriki challenge ya Likizo Time na ujishindie nafasi ya kulala bure kwe ye hoteli ya kitalii wewe na mpenzi wako. #TanzaniaUnforgettable #Likizotime
account_circle
Likizo Time(@likizotime) 's Twitter Profile Photo

Mandhari ya @mountroyalhotel iliyopo ndani ya mkoa wa Iringa ambayo ni moja ya sehem ambazo washindi wetu watapata nafasi ya kwenda na ku-spend sikukuu za mwaka mpya na Krismasi.
Bado hujachelewa shiriki katika likizo time challenge na ujipatie nafasi hii.

Mandhari ya @mountroyalhotel iliyopo ndani ya mkoa wa Iringa ambayo ni moja ya sehem ambazo washindi wetu watapata nafasi ya kwenda na ku-spend sikukuu za mwaka mpya na Krismasi. Bado hujachelewa shiriki katika likizo time challenge na ujipatie nafasi hii. #Likizotime
account_circle
Likizo Time(@likizotime) 's Twitter Profile Photo

Sio kila siku unauliza wenzako hapo ni wapi, hii ni zamu yako sasa! Shiriki katika challenge hii ya likizo time sasa tukupeleke @serenahotelstz yenye hadhi ya kitalii na u-enjoy.


account_circle
Jane Shussa(@ShussaJane) 's Twitter Profile Photo

How beautiful is Mount Royal Villa Hotel (Iringa)?? 😍🥰

Now, imagine upate kuwa hapa na umpendaye Christmas na Mwaka Mpya ☺️🥺

Kuna challenge ya Likizo Time. Bado unaweza kushiriki kupata nafasi ya kushinda🙌


How beautiful is Mount Royal Villa Hotel (Iringa)?? 😍🥰 Now, imagine upate kuwa hapa na umpendaye Christmas na Mwaka Mpya ☺️🥺 Kuna challenge ya @likizotime. Bado unaweza kushiriki kupata nafasi ya kushinda🙌 #TanzaniaUnforgettable #LikizoTime
account_circle
Likizo Time(@likizotime) 's Twitter Profile Photo

Sasa tumekuletea mchongo wa kuifurahia likizo yako. Shiriki ili uweze kupata nafasi ya kusherehekea Krismasi na Mwaka mpya kwenye moja ya hoteli kitalii Tanzania (wewe pamoja na umpendae-couple).

challenge

Sasa #Likizotime tumekuletea mchongo wa kuifurahia likizo yako. Shiriki ili uweze kupata nafasi ya kusherehekea Krismasi na Mwaka mpya kwenye moja ya hoteli kitalii Tanzania (wewe pamoja na umpendae-couple). #likizotime #likizotimechallenge
account_circle
Likizo Time(@likizotime) 's Twitter Profile Photo

Sawa hujasave vya kutosha huu mwaka basi shiriki katika challenge ya likizo time upate nafasi ya kutembelea hoteli nzuri za kitalii bure kabisa.

Sawa hujasave vya kutosha huu mwaka basi shiriki katika challenge ya likizo time upate nafasi ya kutembelea hoteli nzuri za kitalii bure kabisa. #TanzaniaUnforgettable #Likizotime
account_circle