Msemaji Mkuu wa Serikali(@TZMsemajiMkuu) 's Twitter Profileg
Msemaji Mkuu wa Serikali

@TZMsemajiMkuu

The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿

ID:765756476031918080

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today17-08-2016 03:45:45

27,3K Tweets

736,7K Followers

11 Following

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni, Dar es Salaam

Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Saturn Corporation Limited, Eneo la Viwanda, Kigamboni, Dar es salaam, tarehe 09 Mei 2024

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam mara baada ya uzinduzi tarehe 09 Mei, 2024.

Ofisi ya Waziri Mkuu(@TZWaziriMkuu) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9, 2024 amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9, 2024 amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limitedkilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.

Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursa…
account_circle
Ofisi ya Makamu wa Rais(@vpo_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024.
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: ikulu.go.tz
account_circle
Ofisi ya Waziri Mkuu(@TZWaziriMkuu) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadili jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam, Mei 08, 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijadili jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam, Mei 08, 2024
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024.

Wageni pamoja na Wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Nchi, Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikiakwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Mashaka Biteko mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC, Dar es Salaam kwa ajili ya kuzindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi, Wananchi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kuzindua Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikiakwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.