Porcarl Nyambala(@PorcarlP) 's Twitter Profile Photo

Chui ni moja tu
T990 dzn

Dar to katesh and babati
Utakuna na pisi kali
Dada yetu mpendwa pendo

Safir nasi bila uchovu

Chui  ni moja tu
T990 dzn

Dar to katesh and babati
Utakuna na pisi kali
Dada yetu mpendwa pendo

Safir nasi bila uchovu
account_circle
Mtonda Jr🇹🇿(@mtondaabdallah) 's Twitter Profile Photo

Ukifika katika makumbusho ya Dr Livingstone Ujiji-Kigoma utakuna na picha ya Chuma na Susi.

Hao wawili walikuwa ni wafanyakazi waliomsaidia sana wakati amefika mwambao wa ziwa Tanganyika.

Ukifika katika makumbusho ya Dr Livingstone Ujiji-Kigoma utakuna na picha ya Chuma na Susi.

Hao wawili walikuwa ni wafanyakazi waliomsaidia sana wakati amefika mwambao wa ziwa Tanganyika.

#ElimikaWikiendi
account_circle
Khamis Suedi Kagasheki(@KKagasheki) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya maisha yako ni ndefu. Kama barabara nyinginezo itakuwa mtihani. Utakuna na sehemu za mashimo pita polepole, za tope tumia maarifa, za utelezi punguza sana spidi, za kona kali kumbuka kupinduka. Mshika usukani wa maisha yako ni wewe. Kamwe usikate tamaa.

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Unauza bidhaa zako unataka ziwe za kimataifa zaidi utengeneze mwenyewe chapa, QR Code karibu utakuna na wataalam na utasogea mbele zaidi

datatamasha.dlab.or.tz

Unauza bidhaa zako unataka ziwe za kimataifa zaidi utengeneze mwenyewe chapa, QR Code karibu #DataTamasha2021 utakuna na wataalam na utasogea mbele zaidi

datatamasha.dlab.or.tz 
#DataTamasha2021
#UnboxingData
#DigitalEconomy
account_circle
Tanzania Bound Buses(@TBoundBuses) 's Twitter Profile Photo

Je wajua mabasi yaliyokuwa na TV enzi hizo, kwenye jina la kampuni lazima utakuna na neno VIDEO🙌

Ila sikuhizi yana Choo, ila hamna neno Choo kwenye jina 😂 Mifano kwenye comments....

#KimeiVideoCoach 
Je wajua mabasi yaliyokuwa na TV enzi hizo, kwenye jina la kampuni lazima utakuna na neno VIDEO🙌

Ila sikuhizi yana Choo, ila hamna neno Choo kwenye jina 😂 Mifano kwenye comments....
account_circle
HabariTech(@HabariTech) 's Twitter Profile Photo

⬛Watumiaji wa Native Android (Google pixel & Nokia)

Itabidi utumie Third-party apps ili kuweza piga scrolling screenshot. Ukienda play store kutafuta 'Scrolling Screenshot' utakuna na apps nyingi sana.

Moja inayopendwa zaidi na wengi ni 'Longshot'

Handsome La Kijiji(@ManenoIzaak) 's Twitter Profile Photo

Watanzania Wengi Ni Ndugu Na Ni Wavuja Jasho Tu Usipokutana Nae Stendi Anahangaika Kutafuta Maisha Utamkuta Hospitali Kufuata Matibabu.

Usipokutana Nae Kwenye Sherehe Lazima Utakuna Nae Kwenye Msiba, Maana Yangu Hakikisha Kila Mtu Unaekutana Nae Usimdharau Hujui Amebeba Nini.

account_circle
Jack Da Vinci(@JackSimplex) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya kosa kubwa unadhani utakuna na watu sahihi👎 unakutana na sisi na hutaki kuturekebisha kwenye haya maisha sio kila kitu kitakufurahisha😭✍
Tunaishi mara 1 tunapigania uhai 🙏na hatupo tayari tuumie ili ww ufurahi👎
🎵SISI🎵' NALA MZALENDO'💪👊

Genious✍️(@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Ninacho Ipendea twitter Ukijifanya Mwehu Utakutana na Wehu zaidi Yako, Ukijifanya Mjuaji Utakutana na Wajuaji zaidi yako, Ukijifnya Una Akili nyingi kuzidi Wengine Utakuna Na Wenye Akili zaiidi Yako. Ukiwa Muungwana Pia Kuna Waungwana Zaidi yako.. Hii ndio twitter..✍️

account_circle
Genious✍️(@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Kizuri cha twitter, ukijifanya mjuaji utakutana na wajuaji zaiidi yako, ukijifanya, msomi utakutana na wasomi zaidi yako, ukijifanya mwana siasa utakuna na wanasiasa zaiidi yako.

account_circle
AFRICAN DIPLOMAT 🇰🇪🇳🇦(@_Diplomaat) 's Twitter Profile Photo

At one point in your life however disgusting it is,utakuna haga na utanusa vidole,iyo nae lazima itakufanyikia one way or another 😅😅😅💔

account_circle
Ochieng🦈(@its_fanuel) 's Twitter Profile Photo

Mungu Mbinguni.
Manze I've nothing to offer you but those who've Ears Achana na Tinder ladies .Utakuna nabibi wa wenyewe in the name of twitter kuna single ladies na Utauliwa kwa makosa c yako. And after reading this dedicate another 20 minutes to Fear women.

account_circle
Johnbest Mwahaja(@JohnieZeBest) 's Twitter Profile Photo

2. Michezo Na Wachezaji

Football kwa team zilizojisajiri, hapa utakuna na Malejendi ROHOMBAYA FC. Kama unavyojua msisimko wa mpira wa miguu. Achana na ile ya mashabiki ya Yanga na Mikia hadi Ankali Selbinho Soldado akacheza na Eng. Ndembo Jafari akawa kocha mbele ya Senzo.

2. Michezo Na Wachezaji

Football kwa team zilizojisajiri, hapa utakuna na Malejendi @RohoMbayaFClub. Kama unavyojua msisimko wa mpira wa miguu. Achana na ile ya mashabiki ya Yanga na Mikia hadi Ankali @SoldadoSelbinho akacheza na @ndembo255 akawa kocha mbele ya Senzo.
account_circle