Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profileg
Wizara ya Viwanda na Biashara

@ViwandaBiashara

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Viwanda na Biashara

ID:1140494334032306176

linkhttp://www.mit.go.tz calendar_today17-06-2019 05:40:13

1,3K Tweets

45,7K Followers

70 Following

Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Mawaziri wa Sekta zinazohusika na Biashara,Fedha,Mipango na Uwekezaji na Serikali za mitaa Wakiendelea na Kikao Cha kutatua kero za Wafanyabiashara wa Kariakoo katika ukumbi wa Tume ya Ushindani (FCC) 11 Mei 2024 jijini Dar es Salaam.

account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Wafanyabiashara wa Saudi Arabia wahamasishwa kununua bidhaa za Tanzania

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewahimiza na kuwahamasisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuongeza kasi ya kununua bidhaa kutoka Tanzania pamoja na kuja kuwekeza nchini

Waziri

Wafanyabiashara wa Saudi Arabia wahamasishwa kununua bidhaa za Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewahimiza na kuwahamasisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuongeza kasi ya kununua bidhaa kutoka Tanzania pamoja na kuja kuwekeza nchini Waziri
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Tanzania imepiga hatua kuzalisha na kusambaza umeme vijijini

Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesisitiza kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuzalisha na kusambaza umeme vijijini na mjini.

Waziri kijaji ameyasema hayo Aprili 29, 2024 alipokuwa

Tanzania imepiga hatua kuzalisha na kusambaza umeme vijijini Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesisitiza kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuzalisha na kusambaza umeme vijijini na mjini. Waziri kijaji ameyasema hayo Aprili 29, 2024 alipokuwa
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Dkt Kijaji ateta na DCO kujenga uwezo wa Biashara Mtandao

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mhe.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Digital Cooperation Organization (DCO) Bi. Deemah Al Yahya
kuhusu kujengea uwezo Taasisi

Dkt Kijaji ateta na DCO kujenga uwezo wa Biashara Mtandao Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji (Mhe.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Digital Cooperation Organization (DCO) Bi. Deemah Al Yahya kuhusu kujengea uwezo Taasisi
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Serikali yawakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia nchini

Serikali imewakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuja kufanya Biashara Tanzania katika sekta za Kilimo, Viwanda, Mifugo, Nishati, Madini, Utalii, Madawa na Miliki ya Ujenzi (Real Estate).

Wafanyabiashara hao

Serikali yawakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia nchini Serikali imewakaribisha wafanyabiashara wa Saudi Arabia kuja kufanya Biashara Tanzania katika sekta za Kilimo, Viwanda, Mifugo, Nishati, Madini, Utalii, Madawa na Miliki ya Ujenzi (Real Estate). Wafanyabiashara hao
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na Saudi Arabia zakubaliana kukuza biashara

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara wa Saudi Arabia Dkt. Majid Al Kasabi kuhusu kuendeleza uhusiano wa kibiashara na kuhakikisha mauzo ya bidhaa

Tanzania na Saudi Arabia zakubaliana kukuza biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara wa Saudi Arabia Dkt. Majid Al Kasabi kuhusu kuendeleza uhusiano wa kibiashara na kuhakikisha mauzo ya bidhaa
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Dkt. Kijaji ateta na Benki ya Saudi Exim

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji ameishauri Benki ya Saudi Exim kuwawezesha wafanyabiashara wa Tanzania na Saudi Arabia ili waweze kuongeza mitaji kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini na kukuza biashara

Dkt. Kijaji ateta na Benki ya Saudi Exim Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Ashatu Kijaji ameishauri Benki ya Saudi Exim kuwawezesha wafanyabiashara wa Tanzania na Saudi Arabia ili waweze kuongeza mitaji kwa ajili ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini na kukuza biashara
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Tanzania yashiriki Mkutano wa 39 wa SCTIFI ngazi ya Mawaziri EAC

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega (Mb) aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) ngazi ya Mawaziri wa Nchi

Tanzania yashiriki Mkutano wa 39 wa SCTIFI ngazi ya Mawaziri EAC Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega (Mb) aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) ngazi ya Mawaziri wa Nchi
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Mawaziri kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekubaliana kuimarisha sekta ya Viwanda kwa pamoja na kuhamasisha uzalishaji wa bidhaa za pamba,ngozi,madawa ,matunda na mbogamboga ili kuhakikikisha viwanda vya nchi hizo vinaimarika sanjari na kuongeza thamani kwenye

Kikao cha Maandalizi ya Mkutano wa 39 wa SCTIFI ngazi ya Mawaziri EAC

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega (Mb) aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kikao cha maandalizi kabla ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na

Kikao cha Maandalizi ya Mkutano wa 39 wa SCTIFI ngazi ya Mawaziri EAC Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega (Mb) aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kikao cha maandalizi kabla ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha na
account_circle
Wizara ya Viwanda na Biashara(@ViwandaBiashara) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo tarehe 19 April 2024, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara wa Uturuki Mhe. Prof. Ömer Bolat pembezoni mwa Kongamano la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Uturuki linalofanyika katika Hoteli ya

Tanzania yashiriki Mkutano wa SCTIFI ngazi ya Makatibu wa Wakuu wa EAC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundu aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha

Tanzania yashiriki Mkutano wa SCTIFI ngazi ya Makatibu wa Wakuu wa EAC Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Stephen Mbundu aongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Kisekta wa Biashara, Viwanda, Fedha
account_circle