๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profileg
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@__abdulazack

Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

ID:1135266084100235265

calendar_today02-06-2019 19:25:01

179,0K Tweets

91,0K Followers

89,4K Following

Sairun(@SairunTahl25141) 's Twitter Profile Photo

KIKAO KAMATI KUU CHAVUNJIKA CHAGEUKA KIKAO CHA KUSUTANA.

Kikao cha chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kilichokaliwa jana na juzi kimeshindwa kumalizika baada ya kutupiana maneno makali kwa viongozi wa chama hicho.

YANI MPAKA WASEMEEE!

KIKAO KAMATI KUU CHAVUNJIKA CHAGEUKA KIKAO CHA KUSUTANA. Kikao cha chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kilichokaliwa jana na juzi kimeshindwa kumalizika baada ya kutupiana maneno makali kwa viongozi wa chama hicho. YANI MPAKA WASEMEEE!
account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

VIFAA TIBA VILIVYOONGEZWA KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA RAIS SAMIA

โ— MRI kutoka 7 hadi 13
โ— CT-Scan kutoka 12 hadi 45
โ— Digital X-Ray kutoka 476 hadi 346.

โ— Ultrasound kutoka 476 hadi 668.

โ— Echocardiogram kutoka 95 hadi 102.

โ— Cathlab kutoka 1 hadi 4

โ—Pet Scanโ€ฆ

VIFAA TIBA VILIVYOONGEZWA KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA RAIS SAMIA โ— MRI kutoka 7 hadi 13 โ— CT-Scan kutoka 12 hadi 45 โ— Digital X-Ray kutoka 476 hadi 346. โ— Ultrasound kutoka 476 hadi 668. โ— Echocardiogram kutoka 95 hadi 102. โ— Cathlab kutoka 1 hadi 4 โ—Pet Scanโ€ฆ
account_circle
Tanzania Wall Street(@Tanzaniawall) 's Twitter Profile Photo

Kwa wanaojua historia ya ukuaji wa sekta ya Afya, tunazo sababu nyingi za kumpongeza Rais Samia kwa juhudi anazoonyesha katika sekta hii adhimu ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Kwa wanaojua historia ya ukuaji wa sekta ya Afya, tunazo sababu nyingi za kumpongeza Rais Samia kwa juhudi anazoonyesha katika sekta hii adhimu ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ #MguuKwaMguu2025 #Uongoziwenyematokeo #Samiasuluhu
account_circle
Tanzania Wall Street(@Tanzaniawall) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐ฉ๐š๐ฌ๐ฎ๐ค๐จ: ๐Š๐ข๐ค๐š๐จ ๐œ๐ก๐š ๐‚๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ญ๐ž๐ง๐š, ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ก๐ข๐๐ข ๐ฐ๐š ๐Ÿ๐ž๐๐ก๐š ๐œ๐ก๐š๐Ÿ๐ฎ

Leo ni siku ya tatu tangu viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo waanze kutifuana katika vikaoโ€ฆ

account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

WATUMISHI WA AFYA 13,187 KUAJIRIWA ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA

Serikali ya Rais Ramia Suluhu Hassan imetoa kibali cha kuajiri watumishi wa Afya 13,187 pamoja na kutoa ajira za mkataba 4,838 lengo ni kukabiliana na changamoto ya watumishi pamoja na kurahisisha utoaji wa hudumaโ€ฆ

WATUMISHI WA AFYA 13,187 KUAJIRIWA ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA Serikali ya Rais Ramia Suluhu Hassan imetoa kibali cha kuajiri watumishi wa Afya 13,187 pamoja na kutoa ajira za mkataba 4,838 lengo ni kukabiliana na changamoto ya watumishi pamoja na kurahisisha utoaji wa hudumaโ€ฆ
account_circle
Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

Ukishaona WAZIRI amependeza hivi, ujue BAJETI YA AFYA imezingatia VIPAUMBELE na MAHITAJI MUHIMU ya wananchi.

Ukishaona WAZIRI amependeza hivi, ujue BAJETI YA AFYA imezingatia VIPAUMBELE na MAHITAJI MUHIMU ya wananchi.
account_circle
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@__abdulazack) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐ฉ๐š๐ฌ๐ฎ๐ค๐จ: ๐Š๐ข๐ค๐š๐จ ๐œ๐ก๐š ๐‚๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ญ๐ž๐ง๐š, ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ก๐ข๐๐ข ๐ฐ๐š ๐Ÿ๐ž๐๐ก๐š ๐œ๐ก๐š๐Ÿ๐ฎ

Leo ni siku ya tatu tangu viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo waanze kutifuana katika vikaoโ€ฆ

๐Œ๐ฉ๐š๐ฌ๐ฎ๐ค๐จ: ๐Š๐ข๐ค๐š๐จ ๐œ๐ก๐š ๐‚๐ก๐š๐๐ž๐ฆ๐š ๐ค๐ฎ๐ž๐ง๐๐ž๐ฅ๐ž๐š ๐ญ๐ž๐ง๐š, ๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š๐ก๐ข๐๐ข ๐ฐ๐š ๐Ÿ๐ž๐๐ก๐š ๐œ๐ก๐š๐Ÿ๐ฎ Leo ni siku ya tatu tangu viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo waanze kutifuana katika vikaoโ€ฆ
account_circle