essy❤️
@__essy_
The pot of gold at the end of rainbow❤️. Brand ambassador @NuzoCoin
ID:1751524955827683328
28-01-2024 08:39:18
3,3K Tweets
500 Followers
413 Following
Kitongoji cha Tuwan Kitale:
Ni makaazi yaliyoko kando kando ya mji wa Kitale.
Wakazi watangamana na kuendeleza shughuli pamoja.
Ufafanuzi wa jina Tuwan unahusu ushirikiano
#SemaNaCitizen Mashirima Kapombe