Hafidh.(@alhajiabeidi) 's Twitter Profileg
Hafidh.

@alhajiabeidi

Do For love .

ID:883554669112557568

calendar_today08-07-2017 05:13:43

12,3K Tweets

226 Followers

1,0K Following

SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Ukifariki ofisini kwako watakutoa kwenye group la WhatsApp kabla hata hajazikwa, siku ya mazishi kazini kwako kuna wata wataendelea na kazi zao kama kawaida.

Jifunze zaidi kujali familia yako zaidi, kazi sio kila kitu kwenye maisha.

account_circle
SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kuondoka sehemu usipitie dirishani pitia mlangoni.

Aga waambie tu unaomba likizo ya bila malipo haupo sawa kuna changamoto ya kifamilia inayokuhitaji kuwa nje ya ofisi kwa miezi 6.

Tembea, hata siku ukirudi watakupokea.

Wanasema 'Usichomoe chaja kabla simu haijajaa'

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Kila siku mpya inakupa nafasi ya kujitafuta na kufanya mabadiliko kwenye maisha yao.
Kwanini ukate tamaa while life is full of opportunities and possibilities?

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Jamii nyingi za Kanda ya Ziwa, Baba akifariki, watoto wa Kiume walikua wanaenda kulelewa ujombani.
Do you know the logic behind?
Boys need a father figure to guide them.

account_circle
Sara(@piousdeenn) 's Twitter Profile Photo

Kun faya kun, No matter how much difficult it seems, it can with that Kun. Allah can again turn and bring the brightness in your life. It will shine again. His Kun is all you need.

account_circle
Tech. Msami Mvungi(@MvungiUcha33) 's Twitter Profile Photo

'Na ikiwa mnaogopa kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.'

KAPO KONZ(@capoconz) 's Twitter Profile Photo

“Pray until your situation changes. Miracles happen every day, so never stop believing. Allah can change things very quickly in your life.”

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

So long as you are doing something right, nyakati nzuri na ngumu zinakuja na kupita, tofauti ni duration tuu.
So hang on there.

account_circle
Lubasha Jr(@MarekaMalili) 's Twitter Profile Photo

Watu wameamua tuu kusambaza mahusiano yanayofeli kuliki yanayofanikiwa, ni jambo linafanyika kimkakati sana, lengo ni kuifanya Taasisi ya familia ionekane sio muhimu kama ilivyokua awali.
Nadhani madhara tumeanza kuyaona mdogo mdogo.

account_circle
Adam's suleiman(@AdmireAs) 's Twitter Profile Photo

Enyi watu! Zihesabuni nafsi zenu kabla hazijahesabiwa! Nayapimeni matendo yenu kabla hayajapimwa! Najiandaeni na mkutano mkubwa mbele za Mola wenu Mlezi! Hakika leo ni matendo bila ya hisabu, na kesho ni hisabu bila ya matendo.

account_circle