Dason(@dammyG05) 's Twitter Profile Photo

Watanzania amkeni msipotoshwe na viongoz wababaifu wa ccm.

Amka dai TANGANYIKA yako, haki ya Mzanzibar ni kama last born, ardhi yenu ya wote ila ardhi ya Mzanzibar ni mali yake binafsi.

Haiwezekani huu ni ukiritimba, Muungano wa mchongo usiokuwa na maana.
Wake up.

account_circle
Irene Killenga(@IreneKillenga) 's Twitter Profile Photo

Kumekucha Amka Ukapambane Hakuna Kulala Jana Ulikosa Leo Huenda 𝐔𝐊𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 (𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐍𝐈 𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐒𝐎𝐓𝐄)

Karibu Kwenye Biashara yetu hapa Mjini😇
Unasikiliza Ukiwa Wapi? Tutazame LIVE Kupitia YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )

Kumekucha Amka Ukapambane Hakuna Kulala Jana Ulikosa Leo Huenda 𝐔𝐊𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 (𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐍𝐈 𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐒𝐎𝐓𝐄)

Karibu Kwenye Biashara yetu hapa Mjini😇
Unasikiliza #JotoLaAsubuhiEFM Ukiwa Wapi?  Tutazame LIVE Kupitia YouTube Channel Yetu ( EFM TANZANIA )

#jotolaasubuhiefm
account_circle