Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profileg
Official Bavicha Taifa

@bavicha_taifa

Chadema Youth Council,

E-mail: [email protected]

ID:975657990664671234

linkhttp://www.chadema.or.tz calendar_today19-03-2018 08:59:26

10,6K Tweets

141,0K Followers

198 Following

Follow People
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Kesho tarehe 5 Aprili 2024, saa tano kamili asubuhi Baraza litazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Dar es salaam. Mzungumzaji atakuwa mwenyekiti Mhe. John Pambalu. Waandishi wote mnakaribishwa.

Kesho tarehe 5 Aprili 2024, saa tano kamili asubuhi Baraza litazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Dar es salaam. Mzungumzaji atakuwa mwenyekiti Mhe. @John_Pambalu. Waandishi wote mnakaribishwa.
account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 06 Machi 2024 Chadema kupitia mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe kitatangaza ๐—”๐—ญ๐—œ๐— ๐—œ๐—ข ๐—Ÿ๐—” ๐— ๐—ง๐—ช๐—”๐—ฅ๐—”. Mbowe atatangaza azimio hilo kupitia mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Luwa Hotel iliyopo Mtwara kuanzia ๐˜€๐—ฎ๐—ฎ 6 ๐—ธ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—บ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ

Maandamano ya amani jijini Mbeya tarehe 20 Februari 2024. Maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe.

Maandamano ya amani jijini Mbeya tarehe 20 Februari 2024. Maandamano hayo yatahitimishwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe. #VuguvuguLaKudaiHaki
account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Haki haiombwi, haki inadaiwa. Tuungane katika , tujitokeze kwa wingi katika maandamano ya amani yatakayofanyika katika majiji ya Mwanza, Mbeya na Arusha.

account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 15 Februari 2024 l, Chama kitaongoza watanzania katika maandamano ya amani yatakayofanyika katika Jiji la Mwanza. Maandamano hayo yatahitimishwa katika uwanja wa Furahisha.

Tarehe 15 Februari 2024 l, Chama kitaongoza watanzania katika maandamano ya amani yatakayofanyika katika Jiji la Mwanza. Maandamano hayo yatahitimishwa katika uwanja wa Furahisha. #VuguvuguLaKudaiHaki
account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Maadamano ya amani mwezi huu wa Februari 2024 katika majiji matatu.
1. Mwanza tarehe 13/02/2024
2. Mbeya tarehe 20/02/2024
3. Arusha tarehe 27/02/2024

Maadamano ya amani mwezi huu wa Februari 2024 katika majiji matatu. 1. Mwanza tarehe 13/02/2024 2. Mbeya tarehe 20/02/2024 3. Arusha tarehe 27/02/2024 #VuguvuguLaKudaiHaki
account_circle
๐€๐ฉ๐จ๐ฅ๐ฅ๐จ(@Apollo_Boniface) 's Twitter Profile Photo

Bavicha tumeona tamko la UVCCM Mkoa wa Kagera wakimkemea mjumbe wao kwa kuwasilisha ujumbe kutoka Mbinguni.

Tumesikitishwa na hatua ya UVCCM kutoa kauli za vitisho kwa mtoa ujumbe huo aliodai ameupokea kutoka Mbinguni. Aidha, tumeona wito uliotolewa kwa Jeshi la Polisi kumkamata

Bavicha tumeona tamko la UVCCM Mkoa wa Kagera wakimkemea mjumbe wao kwa kuwasilisha ujumbe kutoka Mbinguni. Tumesikitishwa na hatua ya UVCCM kutoa kauli za vitisho kwa mtoa ujumbe huo aliodai ameupokea kutoka Mbinguni. Aidha, tumeona wito uliotolewa kwa Jeshi la Polisi kumkamata
account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Magari ya matangazo yakiwa tayari kuingia katika mitaa ya jiji la Da es salaam kufanya matangazo juu ya maandamano ya amani Januari 24, 2024.

account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Zimebaki siku ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ (๐Ÿฌ๐Ÿฎ) kuelekea maandamano ya amani Januari 24, 2024.

๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ
1. Kuondoa Miswada mibovu 3 Bungeni.
2. Kupunguza gharama za maisha
3. Ianze mchakato wa kuboresha Katiba ya 1977
4. Kusikiliza na kuheshimu maoni ya watu

Zimebaki siku ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ (๐Ÿฌ๐Ÿฎ) kuelekea maandamano ya amani Januari 24, 2024. ๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ 1. Kuondoa Miswada mibovu 3 Bungeni. 2. Kupunguza gharama za maisha 3. Ianze mchakato wa kuboresha Katiba ya 1977 4. Kusikiliza na kuheshimu maoni ya watu
account_circle
Official Bavicha Taifa(@bavicha_taifa) 's Twitter Profile Photo

Zimebaki siku ๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚ (๐Ÿฌ๐Ÿฏ) kuelekea maandamano ya amani Januari 24, 2024.

๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ
1. Kuondoa Miswada mibovu 3 Bungeni.
2. Kupunguza gharama za maisha
3. Ianze mchakato wa kuboresha Katiba ya 1977
4. Kusikiliza na kuheshimu maoni ya watu

Zimebaki siku ๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚ (๐Ÿฌ๐Ÿฏ) kuelekea maandamano ya amani Januari 24, 2024. ๐—ง๐—จ๐—ก๐—”๐—œ๐—ง๐—”๐—ž๐—” ๐—ฆ๐—˜๐—ฅ๐—œ๐—ž๐—”๐—Ÿ๐—œ 1. Kuondoa Miswada mibovu 3 Bungeni. 2. Kupunguza gharama za maisha 3. Ianze mchakato wa kuboresha Katiba ya 1977 4. Kusikiliza na kuheshimu maoni ya watu
account_circle