East Africa Radio (@earadiofm )

East Africa RadioBio Together Tunawakilisha
Location East Africa
Tweets 85,1K
Followers 231,1K
Following 10
Account created 08-10-2011 06:27:04
ID 386954529


TweetDeck : EAST AFRICA BREAKFAST

Wapendanao hupitia mambo mengi mazuri na mabaya, tuambie kwa upande wako unakumbuka nini siku hii muhimu kwa wapendanao?

TweetDeck : #EABreakfast

Wananchi wa Kinondoni jijini Dar es salaam wametakiwa kuendelea kudumisha amani nakutovunja sheria kuelekea katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.

Nini mtazamo wako katika hili?

TweetDeck : #THECRUISE

#EnewzMamtoni Jhene Aiko aamua kuwatolea uvivu wote wanaomsema kwamba alimsaliti mpenzi wake wa zamani kwa kutembea na mpenzi wake wa sasa Big Sean

Je ukigundua unatembea na mpenzi wa mtu mwingine na unampenda utafanyaje?

TweetDeck : #THECRUISE

#EnewsAfrica Msanii Davido kutoka Nigeria ameamua kumfurahisha shabiki yake aliejichora tatoo yake kwa kumfolow Instagram

Je kibongo bongo ni msanii gani akikufollow utafurahi sana na kwanini?

TweetDeck : #TheCruise

#Rolemodels (SHONDA RHYMES)

Muandishi maarufu duniani Shonda Rhymes anasema ni vizuri kama mama kama mzazi kumfundisha mwanae kuishi katika imani ya kwamba ana nguvu na uwezo wa kuwa lolote atakalo.

TweetDeck : #KIKAANGONI na Prince Amigo & Tausi Mdegela live, ni Jumatano hii saa 8:00 Mchana. Hakikisha unaandaa maswali yako na watakujibu live kwenye ukurasa wako pendwa wa Facebook EATV

  • Start Video

TweetDeck : #KIKAANGONI na Prince Amigo & Tausi Mdegela live, ni Jumatano hii saa 8:00 Mchana. Hakikisha unaandaa maswali yako na watakujibu live hapa hapa kwenye ukurasa wako pendwa wa EATV

  • Start Video

TweetDeck : Unadhani Mapenzi ya kweli ni nini!? Tausi na laaziz wake Prince Amigo watakuwa live #KIKAANGONI kushare nasi jinsi penzi lao lilivyochanua baina yao, walianzaje mpaka kuwa wapenzi, kazi zao za sanaa inakuwaje!!? Na mke mkubwa wa Prince Amigo anachukuliaje!!? Usikose Jumatano hii