EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profileg
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

ID:386954529

calendar_today08-10-2011 06:27:04

178,3K Tweets

1,2M Followers

9 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya wanafunzi 80,000 wa shule za msingi katika wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani wamekosa masomo kufuatia mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

Ofisa Elimu mkoa wa Pwani, Sarah Mlaki, ameyasema hayo kwenye ziara ya kujionea athari za mvua

#HABARI Zaidi ya wanafunzi 80,000 wa shule za msingi katika wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani wamekosa masomo kufuatia mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Ofisa Elimu mkoa wa Pwani, Sarah Mlaki, ameyasema hayo kwenye ziara ya kujionea athari za mvua
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wameiomba serikali iwasaidie kujenga barabara katika mtaa wa Butiama Vingunguti Jijini Dar es Salaam baada ya barabara hiyo kuathirika na maji ya mto Msimbazi na mvua zinazoendelea kunyesha.

Hata hivyo juhudi mbalimbali zimeendelea kufanyika kupunguza athari

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

''Kuna wanafunzi takribani 36 wamefukuzwa shule kwasababu hawana nembo na wakati muhuri wanauza elfu 10, kwa wakati huu wa mvua utafutaji mgumu na tunafanya kazi ya kibarua, je hii ni sheria kweli kwa Wizara ya Elimu'' - Mwananchi kutoka Mabwepande

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Msikilizaji wa anauliza kuhusu uhaba wa walimu mpaka inafika sehemu wananchi wanalipa michango yao, upi mtazamo wako kwenye hili ?

Msikilizaji wa #SupaBreakfast anauliza kuhusu uhaba wa walimu mpaka inafika sehemu wananchi wanalipa michango yao, upi mtazamo wako kwenye hili ? #EastAfricaRadio
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Ni lini changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini itaisha?,' - Bonnah Kamoli

JIBU 'Changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara inatokana na uchakavu wa miundombinu ya kusafirishia na kusambaza umeme, miundombinu hiyo inahitaji uwekezaji mkubwa sana ambapo

'Ni lini changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini itaisha?,' - Bonnah Kamoli JIBU 'Changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara inatokana na uchakavu wa miundombinu ya kusafirishia na kusambaza umeme, miundombinu hiyo inahitaji uwekezaji mkubwa sana ambapo
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Shule ya msingi Kitangiri ambayo ina shule mbili pale imekuwa ikitumika vibaya na iko karibu na uwanja wa CCM Kirumba kwani nyakati za jioni inatumika na madada poa, ni lini shule hiyo itawekewa uzio ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea ile mipira (Kondomu),' Angeline Mabula,

'Shule ya msingi Kitangiri ambayo ina shule mbili pale imekuwa ikitumika vibaya na iko karibu na uwanja wa CCM Kirumba kwani nyakati za jioni inatumika na madada poa, ni lini shule hiyo itawekewa uzio ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea ile mipira (Kondomu),' Angeline Mabula,
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Watoto wawili wa familia moja katika mtaa wa Uwanja kata ya Nyankumbu Halmashauri ya Mji wa Geita wamefariki dunia ghafla baada ya kuanza kutapika na kuharisha hali iliyopelekea hofu kubwa kwa familia hiyo pamoja na wakazi wa eneo hilo.

Wakizungumza na juu

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Kesho kwenye Mamamia ya East Africa Radio tutakuwa live na Rais wa Wanaume wanaopigwa na wake zao majumbani @rais_wa_wanaume na atakuja kutueleza stori za kupigwa na mke wake na nini huwa anakifanya?

Umewahi kushuhudia mwanaume anapigwa na mke wake?

Ungana na

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kwa upande wa @modoo_255 familia kwake ni kitu cha kwanza kuwa na umuhimu na ndio kinampa nguvu ya kupambana kila siku.

Kwa upande wako familia ina nafasi gani katika maisha?

cc @modoo_255 @conniebeily

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Miongoni mwa ushauri kutoka kwa kijana aliyefanikiwa kupona ugonjwa wa Saratani ni kwamba ukipata mgonjwa usikimbilie kumpeleka kwenye maombi kabla ya kumpeleka hospitali, ni sawa maombi ni muhimu lakini Hospitali pasipuuzwe!

Kwako, kipi kianze?

cc @modoo_255

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kama ni mzazi utakuwa unamuelewa vizuri @coniebeily anachokisema kuwa mwanaye ndiye sababu ya kumfanya azidi kupambana hata anapopata changamoto.

Kwa upande wako nani anakupa nguvu ya kupambana?

cc @modoo_255 @conniebeily

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Imani za kabila la Voodoo (Vodun) linalopatikana Afrika Magharibi katika nchi mbalimbali ikiwemo Benin, Togo, Ghana na Nigeria, ni kabila linaloamini katika ushirikina, mfano siku ya Jumatatu ukitembelewa na mwanamke asubuhi tu, kwao inaashiria mkosi.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Dr. Arthur Temba, Daktari wa macho kutoka Hospitali ya Rufaa mkoa Mwananyamala, ametaja athari zinazoweza kusababishwa na mtu kubandika kope bandia kwenye macho kufuatia baadhi ya wanawake kufanya hivyo kama sehemu ya urembo.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Dr. Arthur Temba, Daktari wa macho kutoka Hospitali ya Rufaa mkoa Mwananyamala akiainisha kazi za msingi za kope asilia katika jicho la binadamu, hivyo kuweka kope bandia inaathiri utendaji kazi wa kope asilia.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Linapofika suala la kujenga kila mtu yuko na kipaumbele chake, wapo watakao kwambia kujenga familia ndiyo kipaumbele kwao, wapo watakao kwambia nyumba kwanza familia baadae

Wakati unafikiria jibu lako ni nini kwenye hili

Shuka nayo.. πŸ‘‡

#UJENZI: Linapofika suala la kujenga kila mtu yuko na kipaumbele chake, wapo watakao kwambia kujenga familia ndiyo kipaumbele kwao, wapo watakao kwambia nyumba kwanza familia baadae Wakati unafikiria jibu lako ni nini kwenye hili Shuka nayo.. πŸ‘‡
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mwanamuziki Lady JayDee @jidejaydee kwenye majonzi mazito ndani ya Kanisa la KKKT Mbezi Beach katika Ibada ya kumuaga Captain Gardner G Habash.

#PICHA Mwanamuziki Lady JayDee @jidejaydee kwenye majonzi mazito ndani ya Kanisa la KKKT Mbezi Beach katika Ibada ya kumuaga Captain Gardner G Habash. #RIPGardner #EastAfricaRadio
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa East Africa Television unatoa pole kwa familia, ndugu, marafiki zetu wa cloudsfm na wafiwa wote katika wakati huu mgumu wa maombolezo ya kumpoteza ndugu na rafiki yetu Gardner G. Habash. M/Mungu awape moyo wa uvumilivu na faraja katika wakati huu mgumu, Bwana ametoa

Uongozi wa East Africa Television unatoa pole kwa familia, ndugu, marafiki zetu wa @cloudsfmtz na wafiwa wote katika wakati huu mgumu wa maombolezo ya kumpoteza ndugu na rafiki yetu Gardner G. Habash. M/Mungu awape moyo wa uvumilivu na faraja katika wakati huu mgumu, Bwana ametoa
account_circle