EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profileg
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

ID:386954529

calendar_today08-10-2011 06:27:04

178,2K Tweets

1,2M Followers

9 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Sajenti Amani Hassan ambaye ni Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza…

Kupitia #WeekendBreakfast Sajenti Amani Hassan ambaye ni Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Sajenti Amani Hassan, Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza kuwa kwa…

Kupitia #WeekendBreakfast Sajenti Amani Hassan, Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza kuwa kwa…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Jamii nzima inapaswa kupaza sauti ya kutoa elimu kuna majukwaa mengi ya kutoa taarifa sio tu kwenye vikao tunavyokutana, tunaweza kutumia simu zetu kutoa taarifa pale majanga yanapokuwa yametokea na sio kuweka jukumu hili kuwa kuna taasisi fulani kazi yao ni kuokoa maisha na…

'Jamii nzima inapaswa kupaza sauti ya kutoa elimu kuna majukwaa mengi ya kutoa taarifa sio tu kwenye vikao tunavyokutana, tunaweza kutumia simu zetu kutoa taarifa pale majanga yanapokuwa yametokea na sio kuweka jukumu hili kuwa kuna taasisi fulani kazi yao ni kuokoa maisha na…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Simba Sc msimu huu inaonyesha kama ile fighting spirit imepungua tofauti na Ihefu ambayo iko chini ya mwalimu Mecky Maxime ambaye anaweza kuwamezesha watu sumu kwa muda mfupi nafikiria mechi inaweza ikawa ngumu, kwa mujibu wa benchi la ufundi la Ihefu ambao kuna kocha…

#KIPENGA: “Simba Sc msimu huu inaonyesha kama ile fighting spirit imepungua tofauti na Ihefu ambayo iko chini ya mwalimu Mecky Maxime ambaye anaweza kuwamezesha watu sumu kwa muda mfupi nafikiria mechi inaweza ikawa ngumu, kwa mujibu wa benchi la ufundi la Ihefu ambao kuna kocha…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Siioni Ihefu ambayo itakwenda kukutana na Simba na kupaki basi kwahiyo natarajia kuona end to end game kwa sababu najua kwenye mbinu za Mecky Maxime akiangalia wachezaji aliyonao uwanjani sidhani kama yuko tayari ku-swallow ile pride yake nakwenda kupaki basi kwenye…

#KIPENGA: “Siioni Ihefu ambayo itakwenda kukutana na Simba na kupaki basi kwahiyo natarajia kuona end to end game kwa sababu najua kwenye mbinu za Mecky Maxime akiangalia wachezaji aliyonao uwanjani sidhani kama yuko tayari ku-swallow ile pride yake nakwenda kupaki basi kwenye…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: “Matola ameongea ukweli kwamba tofauti yao na Young Africans ni ndogo sana alama ambazo kwenye long run ya msimu kwa alama zilizobaki ni alama ambazo unaweza ukamfikia mpinzani wako as long as unachanga karata zako vizuri lakini kinacho matter zaidi ukiwa unaelekea…

#KIPENGA: “Matola ameongea ukweli kwamba tofauti yao na Young Africans ni ndogo sana alama ambazo kwenye long run ya msimu kwa alama zilizobaki ni alama ambazo unaweza ukamfikia mpinzani wako as long as unachanga karata zako vizuri lakini kinacho matter zaidi ukiwa unaelekea…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano katika mtaa wa Kapalangao Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki kwa kudondokewa na ukuta wa nyumba alipokuwa amelala.

Mama mzazi wa mtoto huyo amesema baada ya mvua kunyesha walisikia kishindo cha ukuta ukidondoka na…

#HABARI Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano katika mtaa wa Kapalangao Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi amefariki kwa kudondokewa na ukuta wa nyumba alipokuwa amelala. Mama mzazi wa mtoto huyo amesema baada ya mvua kunyesha walisikia kishindo cha ukuta ukidondoka na…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mwigizaji wa muda mrefu kwenye tasnia ya filamu hapa nchini Asha Jumbe maarufu kama White Maria @whitemaria_og akizungumzia uhusiano wake na Mwigizaji mwenzake Mrembo @wemasepetu.

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: 'Kitu ambacho kinapoza, na kitu ambacho kinaondoa shari, ni maji ya kuoga, na watu wengi hawaogi, kwa mfano wakina Mama wengi hawaogi, wananawa' - Sheikh Mussa, Mkurugenzi @maajabu18

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: 'Kuna vitu ambavyo pia watu wanatengeneza, kwa mfano kuweka kope, kutengeneza makalio, kubandika kucha, tunatengeneza urafiki na shetani, na watu ambao wanaweka vitu zaidi wanaongoza kwa stress' - Sheikh Mussa, Mkurugenzi @maajabu18

…

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Taja timu 2 alizocheza Mbwana Samatta nchini Tanzania?

Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Taja timu 2 alizocheza Mbwana Samatta nchini Tanzania? Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imekumbwa na mafuriko makubwa kuwahi kushuhudiwa na inatajwa kuwa hii sio mara ya kwanza kutokea.

Je! Unafikiri suluhisho la kudumu ya mafuriko haya ni ipi?

Leo kuanzia saa 1: 00 usiku kwenye tutakua na Mkuu wa Wilaya Rufiji Mheshimiwa…

Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imekumbwa na mafuriko makubwa kuwahi kushuhudiwa na inatajwa kuwa hii sio mara ya kwanza kutokea. Je! Unafikiri suluhisho la kudumu ya mafuriko haya ni ipi? Leo kuanzia saa 1: 00 usiku kwenye #EATVSAA1 tutakua na Mkuu wa Wilaya Rufiji Mheshimiwa…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mama anayefahamika kwa jina Agnes Samsoni mkazi wa Nyantorotoro halmashauri ya mji Geita anaiomba Serikali na wasamaria kumsaidia fedha za vipimo na matibabu ya mtoto wake Brytone Silvester (9) ambaye hatembei wala kuongea baada ya kuugua kwa muda mrefu na kupelekea baba…

#HABARI Mama anayefahamika kwa jina Agnes Samsoni mkazi wa Nyantorotoro halmashauri ya mji Geita anaiomba Serikali na wasamaria kumsaidia fedha za vipimo na matibabu ya mtoto wake Brytone Silvester (9) ambaye hatembei wala kuongea baada ya kuugua kwa muda mrefu na kupelekea baba…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mwanne @mwanneothmankamby ametoa maoni yake kuwa watu wengi hawaendi mahakamani kutoa ushahidi kutokana na hofu ya kuogopa kutokana na wengi kukosa elimu ya sheria.

Nini kinafanya kesi nyingi kufumbiwa macho au kuchelewa kupata suluhisho?

…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Sakina Msonde ambaye ni Mjumbe wa Kudhibiti Ukatili Taifa amesema kwa namna nyingine sababu ya ukatili kuongezeka ni watu wengi hawana hofu ya Mungu, kundi kubwa likiwa ni vijana ila wangekuwa na makuzi mazuri ya dini suala la ukatili lingepungua katika jamii.…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Sakina Msonde, Mjumbe wa Kudhibiti Ukatili Taifa ameeleza kuwa kuna tofauti ya kulea na kuhudumia, kuhudumia ni kuhakikisha mtoto amevaa na kula tu lakini kulea ni kujua utaratibu wake kuanzia asubuhi amekula, amelala wapi anacheza na nani n.k.

…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kuwa na nyumba ni ndoto ya kila kijana, Lakini kuwa na nyumba ya kifahari ni ndoto ya kila mwanadamu.

Shuka nayo..👇

#UJENZI: Kuwa na nyumba ni ndoto ya kila kijana, Lakini kuwa na nyumba ya kifahari ni ndoto ya kila mwanadamu. Shuka nayo..👇
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Kwenye hizi picha za Marioo Marioo .tz na baby mama wake Paula @therealpaulahkajala (mjamzito), tuambie hapa maoni yako kama mtoto atakuwa wa kiume au wa kike ungependa aitwe jina gani?

Cc @rich_msafii @clementthehero
…

#BURUDANI: Kwenye hizi picha za Marioo @marioo_tz na baby mama wake Paula @therealpaulahkajala (mjamzito), tuambie hapa maoni yako kama mtoto atakuwa wa kiume au wa kike ungependa aitwe jina gani? Cc @rich_msafii @clementthehero #EastAfricaTV #EastAfricaRadio #Marioo #Paula…
account_circle