profile-img
EastAfricaRadio

@earadiofm

Official account for East Africa Radio

calendar_today08-10-2011 06:27:04

178,1K Tweets

1,2M Followers

9 Following

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo



Jhene Aiko aamua kuwatolea uvivu wote wanaomsema kwamba alimsaliti mpenzi wake wa zamani kwa kutembea na mpenzi wake wa sasa Big Sean

Je ukigundua unatembea na mpenzi wa mtu mwingine na unampenda utafanyaje?

#THECRUISE #EnewzMamtoni Jhene Aiko aamua kuwatolea uvivu wote wanaomsema kwamba alimsaliti mpenzi wake wa zamani kwa kutembea na mpenzi wake wa sasa Big Sean Je ukigundua unatembea na mpenzi wa mtu mwingine na unampenda utafanyaje?
account_circle