@earadiofm
Official account for East Africa Radio
calendar_today08-10-2011 06:27:04
178,1K Tweets
1,2M Followers
9 Following
5 years ago
#MICHEZO Baada ya kuwa na Barcelona kwa miaka 22 akiichezea mechi 674 katika mashindano yote, hatimaye jana kiungo Andres Iniesta ameagwa rasmi kwenye viunga vya Camp Nou.Tukio gani la Iniesta dimbani unalikumbuka zaidi ?