EastAfricaRadio
@earadiofm
Official account for East Africa Radio
ID:386954529
08-10-2011 06:27:04
178,3K Tweets
1,2M Followers
9 Following
Follow People
Ni nafasi gani umeipoteza na unajutia mpaka leo hii?
Picha: hanaPaul
#EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Dodoso #Nafasi
Msikilizaji wa #SupaBreakfast anauliza kuhusu uhaba wa walimu mpaka inafika sehemu wananchi wanalipa michango yao, upi mtazamo wako kwenye hili ?
#EastAfricaRadio
#5Selekt : Kwa upande wa @modoo_255 familia kwake ni kitu cha kwanza kuwa na umuhimu na ndio kinampa nguvu ya kupambana kila siku.
Kwa upande wako familia ina nafasi gani katika maisha?
cc @modoo_255 @conniebeily
#EastAfricaTv #5Selekt #HainaKuchoka
#5Selekt : Kama ni mzazi utakuwa unamuelewa vizuri @coniebeily anachokisema kuwa mwanaye ndiye sababu ya kumfanya azidi kupambana hata anapopata changamoto.
Kwa upande wako nani anakupa nguvu ya kupambana?
cc @modoo_255 @conniebeily
#EastAfricaTv #5Selekt #HainaKuchoka
#DriveShow : Imani za kabila la Voodoo (Vodun) linalopatikana Afrika Magharibi katika nchi mbalimbali ikiwemo Benin, Togo, Ghana na Nigeria, ni kabila linaloamini katika ushirikina, mfano siku ya Jumatatu ukitembelewa na mwanamke asubuhi tu, kwao inaashiria mkosi.
#DriveShow
#DriveShow : Hivi ni vitu vya msingi kuwa navyo katika maisha, hutakiwi kuwapoteza kamwe hawa watu kwenye maisha yako! Bonge la Connection Smart leo.
#DriveShow #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #NdingaMpyaTown
#MAMAMIA : Dr. Arthur Temba, Daktari wa macho kutoka Hospitali ya Rufaa mkoa Mwananyamala, ametaja athari zinazoweza kusababishwa na mtu kubandika kope bandia kwenye macho kufuatia baadhi ya wanawake kufanya hivyo kama sehemu ya urembo.
#Mamamia #EastAfricaRadio #OngezaBando
#MAMAMIA : Dr. Arthur Temba, Daktari wa macho kutoka Hospitali ya Rufaa mkoa Mwananyamala akiainisha kazi za msingi za kope asilia katika jicho la binadamu, hivyo kuweka kope bandia inaathiri utendaji kazi wa kope asilia.
#Mamamia #EastAfricaRadio #OngezaBando #HainaKuchoka
#PICHA Mwanamuziki Lady JayDee @jidejaydee kwenye majonzi mazito ndani ya Kanisa la KKKT Mbezi Beach katika Ibada ya kumuaga Captain Gardner G Habash.
#RIPGardner #EastAfricaRadio