EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profileg
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID:169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

170,3K Tweets

1,7M Followers

7 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Unamkumbuka Muigizaji wa filamu ya Misukosuko ?

Huyu hapa amedakwa na Camera za akifunguka mwanzo mwisho kuhusu maisha yake na chanzo cha ukimya kwenye Uigizaji.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Nyimbo zipo kibao nauliza nipige nyimbo 28, 30 au 32 sababu Hits songs ninazo nyingi sana nitahakikisha kila kitu kitaenda sawa' - MASTA

AY atafanya bonge moja la show Ijumaa hii Aprili 26 Ware House Masaki, katika usiku wa BongoFlava Honors.

Tanzania

'Nyimbo zipo kibao nauliza nipige nyimbo 28, 30 au 32 sababu Hits songs ninazo nyingi sana nitahakikisha kila kitu kitaenda sawa' - @AyTanzania AY atafanya bonge moja la show Ijumaa hii Aprili 26 Ware House Masaki, katika usiku wa BongoFlava Honors. #AYTanzania #AY
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

MBUNGE ATOA YA MOYONI “MECHI za SIMBA na YANGA Msikate UMEME, Mnazua TAHARUKI Huku KWETU”
youtu.be/ouJGqKOigq8

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Tarehe 26 Aprili nitakuwa naperforme hapa Ware House. Nataka kuwaletea Memories kuanzia huko nyuma miaka ya 2000 mpaka 2024, kwenye suala la Performance nitaimba na Live Band'.

'Nataka kuleta Atmosphere tofauti ambayo mmeaminishwa na wasanii wengine, nahisi hili litakuwa somo

'Tarehe 26 Aprili nitakuwa naperforme hapa Ware House. Nataka kuwaletea Memories kuanzia huko nyuma miaka ya 2000 mpaka 2024, kwenye suala la Performance nitaimba na Live Band'. 'Nataka kuleta Atmosphere tofauti ambayo mmeaminishwa na wasanii wengine, nahisi hili litakuwa somo
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

🔴 : BUNGE LA 12 MKUTANO WA KUMI NA TANO KIKAO CHA KUMI NA TATU - TAREHE 24 APRILI, 2024
youtu.be/zNebROnXq_M

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Serikali wilayani Kaliua mkoa wa Tabora imepanga kuwachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi ambao wamekuwa wakiwatorosha wagonjwa hasa watoto kutoka kwenye vituo vya huduma za afya na kuwapeleka katika matibabu ya kienyeji hatua inayopelekea wengi wao kupoteza

#HABARI Serikali wilayani Kaliua mkoa wa Tabora imepanga kuwachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi ambao wamekuwa wakiwatorosha wagonjwa hasa watoto kutoka kwenye vituo vya huduma za afya na kuwapeleka katika matibabu ya kienyeji hatua inayopelekea wengi wao kupoteza
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kama alivyo Jean Claude Vandamme, Rambo, Arnold Schwarzenegger, Chuck Norris, Jackie Chan na Jet Li kuwa mastaa wa filamu za Action ndio hivyohivyo kwenye Game ya Muziki wa BongoFlava starring wake ni Masta MASTA

Jina lake linajiuza kimuziki tu kwa miaka 23 sasa

#BURUDANI Kama alivyo Jean Claude Vandamme, Rambo, Arnold Schwarzenegger, Chuck Norris, Jackie Chan na Jet Li kuwa mastaa wa filamu za Action ndio hivyohivyo kwenye Game ya Muziki wa BongoFlava starring wake ni Masta @AyTanzania Jina lake linajiuza kimuziki tu kwa miaka 23 sasa
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mama yake na msanii Country Boy anasema mwanaye Country tangu kipindi anakua, aliupenda muziki kiasi kwamba alikuwa hawezi kula bila kusikiliza wimbo au hadi aimbiwe ndio anakula.

cc @blessing_teba

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa jua mkoani Shinyanga wa MW 150 unaendelea na matarajio ni umeme huo kuanza kuzalishwa ifikapo Januari, 2025,' - Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

'Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa jua mkoani Shinyanga wa MW 150 unaendelea na matarajio ni umeme huo kuanza kuzalishwa ifikapo Januari, 2025,' - Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati #MakadirioYaMapato #Bungeni #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Salome Kitomari amesema wazazi wakumbatieni watoto wenu ili kuwajengea upendo na wasifieni pale wanapofanya vizuri ili kuwaongezea uwezo wa kujiamini.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

'Kuanza kwa uzalishaji wa umeme kupitia Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha MW 2,115 ambapo tayari uzalishaji umeanza kwa MW 235 kupitia mtambo namba 9, aidha matarajio ni mradi huu kukamilika Desemba, 2024 kwa mitambo yote

Mshambuliaji wa Yanga SC Joseph Guédé ni raia wa nchi gani?
.
.
Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ Mshambuliaji wa Yanga SC Joseph Guédé ni raia wa nchi gani? . . Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #eastafricatv #YangaSc #Guede
account_circle