EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profileg
EastAfricaTV

@eastafricatv

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter
Email: [email protected]

ID:169557169

linkhttp://www.eatv.tv calendar_today22-07-2010 16:39:48

169,9K Tweets

1,7M Followers

7 Following

Follow People
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya mashaki wa anaefahamika kama Jofu Master amefunguka ya moyoni kabisa na kusema kuwa ukiwa unaumwa unaweza kuangalia mechi ya Yanga na ukapona kabisa bila ata ya kutumia dawa

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Alphonce Simbu ni maarufu kwenye mchezo gani?

Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV.

#QUIZ: Alphonce Simbu ni maarufu kwenye mchezo gani? Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Leo Kuelekea michezo wa Sc dhidi ya mchambuzi kutoka @wakanda_republic amechambua na kusema leo Simba anaenda kushinda mechi.

Je, vipi kwa upande wako ni kweli Simba anaenda kushinda leo?

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa changamoto inayowakumba vijana wengi ni pamoja na kuwa kwenye mahusiano mengi unakuta kijana ana mpenzi zaidi ya mmoja hapo ndio anashindwa kuendelea na vitu vya msingi, @ongearadioshow inakuonyesha jinsi vijana wanavyopitia changamoto za kiahusiano.

Sikiliza…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Kiilima iliyopo kata ya Nyakato Halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Elius Antony (11) ameuwawa na watu wasiojulikana kwa kukatwakatwa mapanga na kisha mwili wake kufunikwa kwa majani kwenye kichaka

Mama mzazi wa…

#HABARI Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Kiilima iliyopo kata ya Nyakato Halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Elius Antony (11) ameuwawa na watu wasiojulikana kwa kukatwakatwa mapanga na kisha mwili wake kufunikwa kwa majani kwenye kichaka Mama mzazi wa…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Sajenti Amani Hassan, Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni amesema kuna muda watoto wanachezea simu na kupiga kwenye jeshi hilo kusalimia na wanatumia muda huo kuwaelimisha kuwa hiyo ni namba ya dharura na kufanya hivyo ni…

#WeekendBreakfast Sajenti Amani Hassan, Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni amesema kuna muda watoto wanachezea simu na kupiga kwenye jeshi hilo kusalimia na wanatumia muda huo kuwaelimisha kuwa hiyo ni namba ya dharura na kufanya hivyo ni…
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

'Jamii nzima inapaswa kupaza sauti ya kutoa elimu kuna majukwaa mengi ya kutoa taarifa, tunaweza kutumia simu zetu kutoa taarifa pale majanga yanapokuwa yametokea na sio kuweka jukumu hili kuwa kuna taasisi fulani kazi yao ni kuokoa maisha na mali za viumbe hai kumbe hata sisi…

'Jamii nzima inapaswa kupaza sauti ya kutoa elimu kuna majukwaa mengi ya kutoa taarifa, tunaweza kutumia simu zetu kutoa taarifa pale majanga yanapokuwa yametokea na sio kuweka jukumu hili kuwa kuna taasisi fulani kazi yao ni kuokoa maisha na mali za viumbe hai kumbe hata sisi…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Sajenti Amani Hassan ambaye ni Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza…

Kupitia #WeekendBreakfast Sajenti Amani Hassan ambaye ni Afisa Habari na Elimu kwa Umma toka Jeshi la zimamoto na uokoaji Kinondoni anasema walio wengi wanakariri kuwa maji yanazima kila aina ya moto lakini siyo sahihi 'mafuta hayazimwi na maji, gesi haizimwi na maji'. Ameongeza…
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Pesa ninayo kama nilivyosema hapa Milioni 10 imesimama lakini kama ikitokea nahitaji msaada nitarudi - Muigizaji Sophy Juakali

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

UCHACHE WA ABIRIA CHANGAMOTO MWENGE

Kituo kipya cha daladala Mwenge kimeendelea kukosa abiria licha ya kusajili magari 40 yanayotakiwa kufika kituoni hapo, na madereva wanalazimika kukatisha safari kutokana na changamoto hiyo.

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

KITUO CHA MABASI CHAJAA MASHIMO

Abiria na watumiaji wa kituo cha mabasi cha Kayenze usafiri kwao umegeuka kuwa karaha baada ya kujikuta wakitumia kituo chenye miundombinu mibovu kutokana na mashimo yaliyokithiri kituo hapo.

Kituo hicho kinatumiwa na magari yanayofanya usafiri…

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wananchi na baadhi ya wafanyabiashara wameonyesha wasiwasi wao juu ya nauli za treni ya kisasa ambayo inasubiriwa na wengi kuona ikianza rasmi safari zake.

Kila Jumatatu - Ijumaa
Saa 1:00-2:00 Usiku

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Baada ya ajali ya gari la shule kuua wanafunzi zaidi ya 6 jijini Arusha, mmoja wa manusura (mtoto) wa ajali hiyo amesema dereva alileta uzembe na kupelekea ajali hiyo.

Kila Jumatatu - Ijumaa
Saa 1:00-2:00 Usiku

account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

: Mwigizaji wa muda mrefu kwenye tasnia ya filamu hapa nchini Asha Jumbe maarufu kama White Maria @whitemaria_og akizungumzia uhusiano wake na Mwigizaji mwenzake Mrembo @wemasepetu.

account_circle