hamza Lule(@hamzaalbhanj) 's Twitter Profileg
hamza Lule

@hamzaalbhanj

CEO at Kukeke Gang , CEO at Corporate Gang, CEO at Local Miyeyusho Sana (L.M.S)

ID:4340285134

calendar_today01-12-2015 13:36:08

143,2K Tweets

6,0K Followers

930 Following

hamza Lule(@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Deep sea huwa zinasimamiwa na International Maritime Law
Always deep sea kuna sehemu sheria imesema wazi kabisa uvuvi gan unatakiwa na vyombo gani vinaruhusiwa
Kikawaida Meli zenye engine kubwa sana na macaptain wabobezi ndo wanapita maeneo hayo.
Ngalawa na Mitumbwi hazina ubavu

account_circle
hamza Lule(@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Kuna mtu kuna siku alisema hawaoni mabroo
Nikamjbu wana maisha mengine uko
Makubwa sana😁😁 na Majukumu

account_circle
hamza Lule(@hamzaalbhanj) 's Twitter Profile Photo

Hii Black Nipige na Kinjunga halafu Road Trio na Beast uelekeo Mikumi
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Pale Road itawaka sana

account_circle