ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profileg
ikulu_Tanzania

@ikulumawasliano

Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿

ID:996683519991664640

linkhttp://www.ikulu.go.tz calendar_today16-05-2018 09:27:23

9,4K Tweets

441,9K Followers

8 Following

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Mwakilishi wa Total Energy Getrude Mpangile akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyojipanga kuendelea uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Meneja Mkuu wa Taifa Gas Davis Deogratius akizungumza kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyopanga kuendeleza uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga akizungumza na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam, tarehe 17 Mei,2024

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais, Muungano na Mazingira , Dkt. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es salaam, tarehe 17 Mei,2024

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024.

Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari  wakiwa wamesimama kimya kwa dakika 1 kumkumbuka na kumuombea Mwandishi wa Habari na Mpiga Picha Marehemu Noel Mwingila aliyekuwa mmoja ya Waandishi wa Habari aliyekuwa akihudhuria Mikutano iliyokuwa ikifanyika Ikulu

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wadau wa Nishati Safi ya Kupikia Mhandisi Finias Magessa akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Mwakilishi wa Total Energy Getrude Mpangile akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyojipanga kuendelea uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari wakiwa kwenye Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024.

Mama Lishe wa Kisasa Eva Francis Liboy akizungumzia Faida anazopata kutokana na matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024

Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na Ukuaji kutoka M-Gas Resources Ltd. Abdallah Kijangwa akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyojipanga kuendelea uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Meneja Mkuu wa Taifa Gas Davis Deogratius akizungumza kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyopangakuendeleza uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia