Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profileg
Eng. Ndembo Jafari

@ndembo255

Yanga 🔰| Arduino | Electrical | Electronics | Telecom | Android,Windows Desktop App Developer | TME Education Ambassador-Tz | Embedded System Developer.

ID:2381529135

linkhttps://www.ndembo255.com calendar_today04-03-2014 06:11:55

55,7K Tweets

14,5K Followers

1,4K Following

Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Moja ya kitu kinanishangazaga ni kwenye hizi Taasisi/Vyuo ya Engineering ni Kushindwa kutumia wanafunzi wao kwenye Projects zinahusu Taaluma zao na Matokeo yake wanachukua watu wa Nje, Mfano unaweza kuta chuo kina Project ya Ujenzi na Hakuna wanafunzi wanaowatumia.

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wa Makolo pale Jukwaani Jana walikua na Askari kila baada ya Mashabiki wa3 Askari mmoja 🤣🤣🤣🤣

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Wanananchiiiiiiiii.... Vipi mtaani kwako kilo kimya kama Huku kwetu? Kunae kolo yyte anasumbua huko? Ndio tunaenda Kuanza kubandika mango ya Goal 7. Dadadeki.

account_circle
Eng. Ndembo Jafari(@ndembo255) 's Twitter Profile Photo

Sawa nimekosa namba ila nasikia makelele ya Mashabiki wa Yanga ni wapi Hapo ? Unaweza kunitumia location Nije kaka.?

Sawa nimekosa namba ila nasikia makelele ya Mashabiki wa Yanga ni wapi Hapo ? Unaweza kunitumia location Nije kaka.?
account_circle