๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profileg
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•

@rutaraka

๐™ณ๐šŠ๐š | ๐™ท๐šž๐šœ๐š‹๐šŠ๐š—๐š | #๐™ฟ๐š›๐š˜๐šž๐š๐š•๐šข๐šƒ๐šŠ๐š—๐šฃ๐šŠ๐š—๐š’๐šŠ๐š—๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโ™ฅ๏ธ | ๐™ผ๐šž๐šž๐š–๐š’๐š—๐š’ ๐š ๐šŠ ๐™ผ๐šž๐šž๐š—๐š๐šŠ๐š—๐š˜ | ๐š๐š๐šœ โ‰  ๐šŽ๐š—๐š๐š˜๐š›๐šœ๐šŽ๐š–๐šŽ๐š—๐š๐šœ

ID:525710148

linkhttps://www.linkedin.com/in/abertus-paschal-4a508b63 calendar_today15-03-2012 20:11:07

76,3K Tweets

7,4K Followers

1,6K Following

Tanzania High Commission in Uganda(@TZembassyUG) 's Twitter Profile Photo

H.E. Maj. Gen. P.K. Simuli , High Commissioner of Tanzania High Commission in Uganda giving his remarks during the Media Launch of the 2nd UG๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌTZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟBusiness Forum at Serena Hotel Kampala.
The forum is scheduled to take place on 23 - 24 May, 2024. at Johari Rotana Hotel, Dar es Salaam

H.E. Maj. Gen. P.K. Simuli , High Commissioner of @TZembassyUG giving his remarks during the Media Launch of the 2nd UG๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌTZ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟBusiness Forum at Serena Hotel Kampala. The forum is scheduled to take place on 23 - 24 May, 2024. at Johari Rotana Hotel, Dar es Salaam #UGTZBusinessForum
account_circle
Tanzania High Commission in Uganda(@TZembassyUG) 's Twitter Profile Photo

Tumeshiriki kwenye maonyesho ya Siku ya Kimataifa katika Shule ya Kampala Community International School. Tumefurahia kwa pamoja utamaduni wetu na filamu za vivutio vya utalii nchini Tanzania. Karibuni Tanzania.

๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Lusaka, Zambia

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule mara baada ya mazungumzo yao alipotembeleaโ€ฆ

๐Ÿ“Lusaka, Zambia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule mara baada ya mazungumzo yao alipotembeleaโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Lusaka, Zambia

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob J. Mkunda amewasili nchini Zambia ambako atashiriki Mkutano wa 32 wa Kawaida wa Kamati Ndogo ya Ulinzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika , SADC utakaoanza tarehe 9 - 11 Mei, 2024.โ€ฆ

๐Ÿ“Lusaka, Zambia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Jacob J. Mkunda amewasili nchini Zambia ambako atashiriki Mkutano wa 32 wa Kawaida wa Kamati Ndogo ya Ulinzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika , SADC utakaoanza tarehe 9 - 11 Mei, 2024.โ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—žGeneva Conventions: Why is a key regional actor dailynews.co.tz/?p=57848 | Daily News Tanzania

โ€œTanzania is an important and respected actor, in the region and beyond, and it can and will โ€“and should, as a High Contracting Party herself โ€“ certainly play an important role inโ€ฆ

๐Ÿ—žGeneva Conventions: Why #Tanzania is a key regional actor dailynews.co.tz/?p=57848 | @dailynewstz โ€œTanzania is an important and respected actor, in the region and beyond, and it can and will โ€“and should, as a High Contracting Party herself โ€“ certainly play an important role inโ€ฆ
account_circle
Mkapa Foundation(@MkapaFoundation) 's Twitter Profile Photo

Be part of the Mkapa Legacy: Taking Local Sustainability to New Horizons.
Read more here: mailchi.mp/mkapafoundatioโ€ฆ

Be part of the Mkapa Legacy: Taking Local Sustainability to New Horizons. Read more here: mailchi.mp/mkapafoundatioโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

Happy Europe Day!๐ŸŽŠ

Sending warm congratulations to all our European partners and diplomats in Tanzania on this special occasion.

Your dedication to fostering international relations is truly meritorious. Here's to continued collaboration and friendship! ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บโ€ฆ

Happy Europe Day!๐ŸŽŠ Sending warm congratulations to all our European partners and diplomats in Tanzania on this special occasion. Your dedication to fostering international relations is truly meritorious. Here's to continued collaboration and friendship! #EuropeDay๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Bungeni, Dodoma

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt Dr. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Othman Yakubu, Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Meiโ€ฆ

๐Ÿ“Bungeni, Dodoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt @TuliaAckson amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. @yakubu_saidi, Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo Meiโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Dodoma

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amemuagiza Balozi wa Tanzania Comoro, Balozi Saidi Othman Yakubu kuwa daraja zuri la kupatikana kwa fursa zaidi za kibiashara na uchumi baina ya nchi hizo mbili zenye uhusiano wa muda mrefu.

Waziriโ€ฆ

๐Ÿ“Dodoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฒ Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @KassimMajaliwa_ amemuagiza Balozi wa Tanzania Comoro, Balozi @yakubu_saidi kuwa daraja zuri la kupatikana kwa fursa zaidi za kibiashara na uchumi baina ya nchi hizo mbili zenye uhusiano wa muda mrefu. Waziriโ€ฆ
account_circle
Tanzania Embassy I Japan ๅœจๆ—ฅใ‚ฟใƒณใ‚ถใƒ‹ใ‚ขๅคงไฝฟ้คจ(@UbaloziJapan) 's Twitter Profile Photo

On May 6, 2024, the Embassy participated in the Tanzania Culture and Fabric Exhibition in Okayama, Japan. The event, held over two days, celebrated Japanese Children's Day with Kanga fabric Koi Nobori carp streamers. A wonderful showcase of cultural exchange and unity!๐ŸŽ๐ŸŽโ€ฆ

On May 6, 2024, the Embassy participated in the Tanzania Culture and Fabric Exhibition in Okayama, Japan. The event, held over two days, celebrated Japanese Children's Day with Kanga fabric Koi Nobori carp streamers. A wonderful showcase of cultural exchange and unity!๐ŸŽ๐ŸŽโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

Busara jadidi hii. Tunajifunza mengi kwako Mheshimiwa Waziri.

Leo umeniongezea hili; Mungu muumba Subra na Wakati, yu juu ya yote mawili.

Allah akuweke na kukuhifadhi dhidi ya husda, fitina, uongo na mabaya yote.

Kazi ya kuilea na kuikuza diplomasia yetu katika kona zote zaโ€ฆ

account_circle
January Makamba(@JMakamba) 's Twitter Profile Photo

Mganga ni Mungu na Subira. Subira ni imani katika hukumu ya wakati. Wakati hufifisha, hufufua. Wakati hutenganisha batili na kweli, bandia na halisi, povu na bia. Wakati hukatili fitna na uonevu. Wakati haurakishwi wala haucheleweshwi. Wakati ni duara, mzunguko wake hubusu haki.

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam.

Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursaโ€ฆ

Mapema leo nimezindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni, Jijini Dar es Salaam. Tunaendelea kupiga hatua kubwa katika kukuza sekta ya viwanda, na ninapata faraja kubwa kuona wananchi hasa vijana wakinufaika na fursaโ€ฆ
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Kigamboni, Dar es Salaam

Taswira ya Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.

๐Ÿ“ธ: IKULU

๐Ÿ“Kigamboni, Dar es Salaam Taswira ya Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024. ๐Ÿ“ธ: IKULU
account_circle
๐—”๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜€๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—น, ๐—”.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๎จ€๐•(@rutaraka) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Kigamboni, Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09โ€ฆ

๐Ÿ“Kigamboni, Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @SuluhuSamia akizungumza na Watumishi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited mara baada ya uzinduzi uliofanyika Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09โ€ฆ
account_circle