Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profileg
Shaffih Dauda

@shaffihdauda1

Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own

ID:363625842

linkhttp://www.shaffihdauda.co.tz calendar_today28-08-2011 12:15:23

22,5K Tweets

893,3K Followers

922 Following

Follow People
Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale ambao ni wafuatiliaji wa makala zangu, kuanzia sasa nitakuwa nazitupia kwenye mtandao wa @be_betatq nenda kanifollow. Napenda fetures zake, so kama hauna kwenye simu yako fanya kuwahi siti za mbele, ni unyama sana,utanishukuru baadaye.

account_circle
Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Mashabiki wenye tiketi wameambiwa uwanja umejaa warudi kuangalia mechi kwenye vibanda umiza kama kile cha Buza kwa Ujuguhapa,miongoni mwao ni wanachama hai wa klabu ya Yanga waliosafiri kutoka Mikoani kuja kuipa sapoti timu yao pendwa na wengine wamesafiri kutoka nje ya ya Nchi.

account_circle
Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Hadi sasa tofauti ya timu inayotafuta kucheza fainali ya tano mfululizo kwenye shindano na timu inayojitafuta kucheza nusu fainali ya kwanza katika historia IMESHAONEKANA.

account_circle
Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa Chasambi,kilichonifurahisha siyo tu kufunga leo kwenye mechi yake ya kwanza ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC ๐Ÿ† bali ni kitendo cha benchi la ufundi kumpa nafasi ya kucheza, Chasambi ni top talent! Anahitaji kuaminiwa na kupewa dakika aweze kujengewa uzoefu taratibu.

Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa Chasambi,kilichonifurahisha siyo tu kufunga leo kwenye mechi yake ya kwanza ya @CAFCLCC bali ni kitendo cha benchi la ufundi kumpa nafasi ya kucheza, Chasambi ni top talent! Anahitaji kuaminiwa na kupewa dakika aweze kujengewa uzoefu taratibu.
account_circle
Shaffih Dauda(@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

NI mafanikio makubwa sana kama nchi kuingiza timu mbili kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC ๐Ÿ† tena nchi pekee msimu huu kuingiza timu 2,binafsi najivunia haya maendeleo tunayoyapata kwasasa kwenye upande wa michezo especially mchezo wa soka.

NI mafanikio makubwa sana kama nchi kuingiza timu mbili kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya @CAFCLCC tena nchi pekee msimu huu kuingiza timu 2,binafsi najivunia haya maendeleo tunayoyapata kwasasa kwenye upande wa michezo especially mchezo wa soka.
account_circle