Bin Kazumari(@jemedarisaid) 's Twitter Profile Photo

MZAHA USIOUDHI na BIN KAZUMARI
Kaka MKUBWA anaoa na kitinda mimba wa kike ana birthday, lazima birthday isogezwe mbele tu.

MZAHA USIOUDHI  na BIN KAZUMARI
Kaka MKUBWA anaoa na kitinda mimba wa kike ana  birthday, lazima birthday isogezwe mbele tu.
account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Baba yake alikuwa mchezaji wa YANGA, yeye akaipenda SIMBA. Akasoma shule ya Bunge na Chimala kisha akasomea uandishi wa habari Afrika kusini. Akapewa nafasi ya Uongozi CCM baadaye akajiuzulu, akaitumikia SIMBA akajipatia heshima. Mwananchi Haji Manara ametimiza miaka 48 na anaoa.

Jayleen 💞(@JayleenRickie) 's Twitter Profile Photo

Unaambiwa huyu ndiye Mfalme Sobhuza wa Pili kutoka Swaziland ambae alifariki mwaka 1982 alikua na wake 70 na watoto 210 akafatiwa na King Mswati mwenye wake 89 Kila mwaka anaoa

Unaambiwa huyu ndiye Mfalme Sobhuza wa Pili kutoka Swaziland ambae alifariki mwaka 1982 alikua na wake 70 na watoto 210 akafatiwa na King Mswati mwenye wake 89 Kila mwaka anaoa
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

DE GEA ANAOA
KIPA wa Manchester United, David de Gea anatarajia kufunga ndoa wikiendi hii na mpenzi wake wa zamani Edurne mwenye umri wa miaka 37. Wawili hawa wamedumu kwa muda wa miaka 12 na wamebahatika kupata mtoto wa kike.

Dr Calipso(@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Demu anatangaza watu kusuuzwa mitalo ndo ujanja kama huli nyuma eti we ni mtoto hujui utamu. Demu anasema awe sucked t.d.s 3 times a day nimeamini kichaa anaoa kichaa mwenzake hata mateja hula mateja wenzao huwez kua na akili timamu ukaoa mtu na namna hii BIG NO Kwako Martin Maranja Masese

Demu anatangaza watu kusuuzwa mitalo ndo  ujanja kama huli nyuma eti we ni mtoto hujui utamu. Demu anasema awe sucked t.d.s 3 times a day nimeamini kichaa anaoa kichaa mwenzake hata mateja hula mateja wenzao huwez kua na akili timamu ukaoa mtu na namna hii BIG NO Kwako @IAMartin_
account_circle
MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mimi naendelea kuchukua Notes Humu ndani leo 🗒️

Heshima ni Bora kuliko Uzuri
Urembo hauna thamani
Kitachofanya uendelee kupendwa ni heshima
Mwanaume anaoa Heshima sio urembo 😂

Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa😂🚶🏿‍♀️nione mtu anamuita mtu kibungo sasa.

account_circle
SIR JEFF⚡🇹🇿(@Sirjeff_D) 's Twitter Profile Photo

Mtume Muhammad SAW alitupaa sifa 4 za kuzingatia kabla ya kuoa mwanamke...

-Dini
-Tabia
-Uzuri
-Mali

Alafu unakuta kuna mpuuzi anaoa mwanamke wa Sinza asiyeweza hata kujinunulia pedi. JITATHMINI sana!

account_circle
minah🌹(@queeen_minah) 's Twitter Profile Photo

😆😆😆😆Kesho mupigie simu hao Kinjektile’s sons…uskute anaoa huko na wewe umemsave kwenye jina ‘1 & only’ 💀

😆😆😆😆Kesho mupigie simu hao Kinjektile’s sons…uskute anaoa huko na wewe umemsave kwenye jina ‘1 & only’ 💀
account_circle
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿(@Mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

5. Daniel sura ya 9 inasema Imani yake ilimfanya kuamini kuombea jambo kubwa hakuhitaji watu wengi anaweza pekee
watu wengi ukiwaambia ombea Tanzania anaoa anajichosha jiulize ushawahi kuombea Africa au Dunia ? kwenye maombi inahitajika Imani na Mungu anajibu 👇