Freddie(@frediejustine) 's Twitter Profile Photo

… Hadi sasa Bungeni ni Halima Mdee pekee ambaye amesimama upande wa wanachi na kuitahadharisha Serikali juu ya Mkataba huu wa uuzwaji wa Bandari zetu. Too sad amepuuzwa na kukatishwa na Spika wa Bunge

account_circle
Mamwavi Nkabasia🇹🇿(@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Alisema anautaka uwaziri kwa gharama yoyote.
Msishangae vyeo nchi hii hupatikana kwa kujilipua au kujitoa ufahamu kwa jinsi hii.

account_circle
Nias Nyalada🇹🇿(@nias_nyalada) 's Twitter Profile Photo

Plant your dreams, water them with effort, nurture them with patience. Growth takes time, Remember, growth isn't always linear, but it's always worth it.
mwakitalu_one on IG

Ikuti,Mbeya 2015. Bungeni, Dodoma,2023

Plant your dreams, water them with effort, nurture them with patience. Growth takes time, Remember, growth isn't always linear, but it's always worth it.
#GrowthMindset  mwakitalu_one on IG

Ikuti,Mbeya 2015.                        Bungeni, Dodoma,2023
account_circle
CHOLLO MASTER(@Chollomaster_) 's Twitter Profile Photo

Usikose Kufuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha 2023 /2024

Leo kutokea Bungeni Jijini Dodoma

Usikose Kufuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha 2023 /2024

Leo kutokea Bungeni Jijini Dodoma #HazinaYetuImetaradadi
#BajetiYaWananchi
account_circle
Vitus Nkuna(@VitusNkuna) 's Twitter Profile Photo

'Mhe. Freeman Mbowe hakuzungumza juu ya mgawanyo wa Tanganyika na Zanzibar. Tusipotoshe.' Aida Khenani Mbunge pekee Bungeni kutoka CHADEMA

account_circle
Magnetics (MG)(@ThisIsMagnetics) 's Twitter Profile Photo

Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni. Wapo tayari kutufundisha pembe ndefu ya pembe tatu inaitwaaje kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza financial freedom. Matokeo yake ni…

account_circle
LoveToKnow(@lovetoknow) 's Twitter Profile Photo

My favorites. A bamboo exfoliating sponge, a face roller that lives in your freezer & clips that go on your fingernails.

account_circle
Tanzania Leaks(@TanzaniaLeaks) 's Twitter Profile Photo

Maulid Kitenge, Anza kutema hela za Propaganda ulizokula za DP World. Naona mmeanza kutajana hadi Bungeni. Na bado. Hili swala la Mkataba wa bandari na Waarabu litawatokea puani.

Maulid Kitenge, Anza kutema hela za Propaganda ulizokula za DP World. Naona mmeanza kutajana hadi Bungeni.  Na bado. Hili swala la Mkataba wa bandari na Waarabu litawatokea puani.
account_circle