IAMtikilla๐Ÿ’Ž(@HopeQuotes__) 's Twitter Profile Photo

Watanzania Siku zote WasiWasi ndio akili, binafsi nina Asilimia 50% kwenye huu mkataba wa DP-World ROSTAM AZIZ ana Husika kwa 50% DP-W ni Kimvuli tu

Ogopa sana Mtu Mwenye Kampuni Zaidi ya 15 halafu hazina Majina yake Huyo Mtu ni-Wakuogopwa Sanaa,,

'ROSTAM ni MjanjaMjanja Sana.

account_circle
๐๐š๐ง๐๐š #๐๐๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ‘‘(@SimbaScTweet) 's Twitter Profile Photo

Lakini mnakumbuka niliwaambia huyu Micky sio mtu wa kumwamini sana. Juzi alisema Sawadogo anatakiwa na timu za Egypt, Morocco na Libya, leo anasema amegoma kuvunja mkataba.

Am sure Micky alikuwa miongoni mwa watu walio husika kutuletea Sawadogo ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Lakini mnakumbuka niliwaambia huyu Micky sio mtu wa kumwamini sana. Juzi alisema Sawadogo anatakiwa na timu za Egypt, Morocco na Libya, leo anasema amegoma kuvunja mkataba.

Am sure Micky alikuwa miongoni mwa watu walio husika kutuletea Sawadogo ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
account_circle
IAMtikilla๐Ÿ’Ž(@HopeQuotes__) 's Twitter Profile Photo

Kuwepo Uraiani, Rostam Kila Ufisadi unaotokea Nchi hii ana Husika ndio Maana Wabunge Wenzake Walikua Wakimuita Mtu wa DILI...

Huwezi Kumuona Rostam akiongea hovyo mpaka kuwepo na dili ambalo ana Maslahi nalo

Watanzania Kuweni Makini na Huyu Muhindi wa Kuchovya...

Irenekomu(@Irenekomu4) 's Twitter Profile Photo

Mohammed Dewji MO Mr. Dewji, ukiwa na vacancy katika kampuni zako naomba watu husika wazi-post twitter pia tuweze kuzirusha ziwafikie watu wengi zaidi hasa vijana.

account_circle
EL2412(@lusomi24) 's Twitter Profile Photo

Haki Ngowi Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) Mamlaka ipo , sitaki kuamini kuwa mamlaka husika haikuwa na taarifa since 2018 , 2019 , 2020 , 2021, 2022, na 2023 ndo inapata taarifa? means hamna monitoring ya karibu ya hivi vyuo? so muda, gharama za wanafunzi na wazazi mlikaa kimya ili zipotee? Na mpo ofisin mnalipwa??

account_circle
SETH NZOGYA(@SethNzogya) 's Twitter Profile Photo

Hip hop Icon๐Ÿค  The Black Maradona Hili battle aliyo gain zaidi ni Dizasta Vina, and of course he deserves it and more than that.

Japo kuna watu walisema hili battle halina manufaa lakini kila upande umegain either fans au respect husika but Dizasta ka-gain zaidi.

Kwa sisi fans wa TAMADUNI ๐ŸŽง ni ushindi kwetu.

account_circle
WizโœŒ๐Ÿฝ(@muhabeid) 's Twitter Profile Photo

Trust me, io swali by Muhammad Fawzy was so eloquently put... Ma sha Allah.
Swali limeenda group of schools kulingana na mada husika.
Make sure to listen to the recording of Islamic Spaces - ู…ุณุงุญุงุช ุฅุณู„ุงู…ูŠุฉ upate faida ilioko ndani

account_circle
๐Œ๐€๐๐€๐’๐ˆ ๐“๐ž๐ซ๐ฆ๐ข๐ง๐š๐ฅ(@t_mabasi) 's Twitter Profile Photo

3: Dereva kuendesha chombo kwa mwendokasi.
4: Dereva kuendesha chombo kikiwa na abiria au mzigo mizigo kuzidi uwezo wake.
5: Dereva mmoja kuendesha chombo kwa muda mrefu zaidi ya masaa manane.
6: Kupanda gari bovu bila kutoa taarifa kwenye taasisi husika.

Action for Democratic Governance (A4DG).(@Action4DG) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi Caliph Makwita akielezea kuhusu mfumo wa Ufuatiliaji unavyofanya kazi katika jamii na jinsi wananchi wanavyoweza kutumia fursa hiyo kuhoji viongozi na kuleta tija katika jamii husika.

Mkurugenzi @caliph_makwita akielezea kuhusu mfumo wa  Ufuatiliaji unavyofanya kazi katika jamii na jinsi wananchi wanavyoweza kutumia fursa hiyo kuhoji viongozi na kuleta tija katika jamii husika. #HudumaBorazaJamii
account_circle
UltraAlgoโ„ข(@ShortAlgoTrades) 's Twitter Profile Photo

Best TD Ameritrade Script | Algorithmic trading signals powered by 15 indicators, find the most profitable patterns with one-click. Exclusive for ThinkorSwim and TD Ameritrade customers by UltraAlgo.

ultraalgo.com/post/algorithmโ€ฆ

account_circle
FinanceBuzz.com(@financebuzz) 's Twitter Profile Photo

Do you pay for Amazon Prime?

Here are 4 things many Amazon Prime users donโ€™t know (that you should probably be aware of).

account_circle
MeaMswahili(@meamswahili) 's Twitter Profile Photo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (TFF) Limewakumbusha Wanafamilia wa Mpira wa Miguu Kuwa ni Kosa Kushirikiana na Wadau Ambao Wamefungiwa.

TFF imesema Kuwa ni Muhimu Kuzingatia Wadau Husika Wamefungiwa Baada ya Kwenda Kinyume na Katiba, Kanuni na Taratibu Zinazosimamia๐Ÿ‘‡

Husika Trust(@HusikaTrustOrg) 's Twitter Profile Photo

Thrilled to be a part of the Ford Foundation youth-led convening! We deeply understand the importance of incorporating evidence into our advocacy work It not only improve the quality but also legitimizes adds credibility and enhances the effectiveness of our work.

Thrilled to be a part of the @FordFoundation youth-led convening! We deeply understand the importance of incorporating evidence into our advocacy work It not only improve the quality but also legitimizes adds credibility and enhances the effectiveness of our work.#EvidenceMatters
account_circle