PETER(@Ngobheko) 's Twitter Profile Photo

1. Balua
2. Karabaka
3. Kazi
4. Chasambi
5. Ally

Taja kijana mwingine pale Unyamani unaetamani kumuona akicheza.

1. Balua
2. Karabaka
3. Kazi
4. Chasambi
5. Ally

Taja kijana mwingine pale Unyamani unaetamani kumuona akicheza.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kijana wa mbogamboga amegoma kabisa kuwa chawa, watamsumbua sana MaCCM, na wanaweza hata kumfukuza na kumvua uanachama lakini amesema ukweli, kwamba, fomu ya kugombea Urais haitoki moja kama cheti cha kifo. Mbogamboga wengi washindane dhidi ya Hanganya. Ndiyo anamaanisha!

account_circle
π‘π’Άπ“Šπ‘“(@Rauftz) 's Twitter Profile Photo

Hizi Cargo Pants Za Kinyamwezi Sana Na Bei Yake Imepoa Sana Yaani Hii Ni Kila Mtu Apate .

Rangi Zipo Zote πŸ”₯πŸ˜‹.

Ukivaa Unapendeza Kama Kijana SMART πŸ“Œ

Ubora Wa Hali Ya Juu Kabisa .

Bei Zake Ni 35k .

Delivery πŸ“¦πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Ipo Kwa Mikoani Yote Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Dr. Sisimizi(@Sisimizi3) 's Twitter Profile Photo

Bodaboda wakibishana wenyewe kwa wenyewe baada ya kumsaidia bodaboda mwenzao kwenda Hospitali na kuacha kumsaidia Kijana wa Millard Ayo Zuchy (Noel Mwingira) ambaye walipata ajali pamoja

Bodaboda wanasema 'Kwanza sio bodaboda mwenzetu' halafu wanaleta Propaganda dhidi ya polisi

account_circle
Musembi(@sembiiii) 's Twitter Profile Photo

Huyu ofweneke anatishia Stoopid boy ati atarevisit. Mnataka kijana akule platform??? Listen to wakadinali about hii story ya platform.

account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Daniel Anjorin kijana wa miaka 14 toka London alikuwa Shabiki mkubwa sana wa Arsenal. Wiki hii akiwa huko North London aliuawa kwa kukatwa na Panga. Leo mashabiki na timu yote ya Arsenal wamemuenzi kwa kuweka picha yake Uwanjani na kusimama ilipofika dakika ya 14 ya Mchezo.