cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia alihaidi ametekeleza ujenzi wa makazi kwa wahanga wa Hanang sasa zimefikia asilimia 40.

Mama ni mtekelezaji.

Rais Samia alihaidi ametekeleza ujenzi wa makazi kwa wahanga wa Hanang sasa zimefikia asilimia 40. 

Mama ni mtekelezaji. #MamayukoKazini
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

𝐁𝐄𝐍𝐃𝐄𝐑𝐀 π˜π„π“π”, π‘π€πˆπ’ 𝐖𝐄𝐓𝐔, π“π”π™πŽ π˜π„π“π”

Washindi wa Tuzo ya America's Got Talent, Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kufikisha Bendera ya Taifa, picha ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu na tuzo yao kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro.

#MamaYukoKazini
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

πŠπ€π’πˆ π˜π€ πŒπ€πŒπ€ 𝐍𝐈 π˜π€ π•πˆπ–π€ππ†πŽ π•π˜π€ 𝐉𝐔𝐔

πŸ’§ Maji safi ni Kijiji kwa Kijiji.

Julai hadi Desemba 2023 Serikali imekamilisha miradi ya maji 374 vijijini.

Miradi mingine 1,172 inaendelea kutekelezwa katika vijiji mbalimbali.

Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Serikali inakamilisha ujenzi wa mradi wa Maji wa Wami awamu ya tatu.

Kupitia mradi huo maji yatazalishwa kutoka lita milioni 7 hadi lita milioni 21, mabomba yatatandazwa KM 124 na matenki 18 na kutakuwa na vituo vya maji maeneo ya Miono, Msoga na Mboga.

Serikali inakamilisha ujenzi wa mradi wa Maji wa Wami awamu ya tatu.

Kupitia mradi huo maji yatazalishwa kutoka lita milioni 7 hadi lita milioni 21, mabomba yatatandazwa KM 124 na matenki 18 na kutakuwa na vituo vya maji maeneo ya Miono, Msoga na Mboga.

#MamaYukoKazini
account_circle
Aliyah(@MelaninAliyah1) 's Twitter Profile Photo

π€π…π˜π€ 𝐍𝐈 π‰π€πŒππŽ 𝐋𝐀 πŒπ€πŒπ€

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Mama ametekeleza mengi zaidi
Amelinda Uhuru wa vyombo vya habari.
Anazungumza na wapinzani.
Amefuta kesi za kisiasa.
Amefungulia wafungwa wa kisiasa.
Wapinzania wanafanya mikutano ya kisiasa na kuandamana hadi kugombana.

Mama ni mtekelezaji na Dunia inajua.

account_circle
ProudlyCCM(@ProudlyCCM) 's Twitter Profile Photo

ANATATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI

Katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Serikali ilitenga Bilioni 55.57 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 809 zenye uwezo wa kuchukuwa kaya 1,916.

Ujenzi wa nyumba hizo umeboresha makazi ya walimu na kuongeza morali ya kazi.

ANATATUA CHANGAMOTO ZA WATUMISHI

Katika mwaka wa fedha wa 2022/23, Serikali ilitenga Bilioni 55.57 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu 809 zenye uwezo wa kuchukuwa kaya 1,916.

Ujenzi wa nyumba hizo umeboresha makazi ya walimu na kuongeza morali ya kazi.

#MamaYukoKazini
account_circle
Baila(@Baila_Jay1) 's Twitter Profile Photo

π„π‹πˆπŒπ” ππŽπ‘π€ πŠπ–π€ π–πŽπ“π„ 𝐍𝐈 πŠπˆππ€π”πŒππ„π‹π„ 𝐂𝐇𝐀 πŒπ€πŒπ€.

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Serikali yaendeleza ushirikiano na IDA

Kupitia mkutano wa shirika la maendeleo la kimataifa (IDA), Rais wa JMT alitangaza miradi ya kimkakati 25 ambayo shirika hilo linatekeleza kwenye sekta za uchukuzi, maji, elimu, nishati na marekebisho ya mifumo ya kodi

Serikali yaendeleza ushirikiano na IDA 

Kupitia mkutano wa shirika la maendeleo la kimataifa (IDA), Rais wa JMT alitangaza miradi ya kimkakati 25 ambayo shirika hilo linatekeleza kwenye sekta za uchukuzi, maji, elimu, nishati na marekebisho ya mifumo ya kodi #MamaYukoKazini
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

βœ… Mazingira bora ya biashara kwa wajasiriamali.

βœ… Ongezeko la mapato ya halmashauri.

βœ… Huduma bora karibu na wananchi.

βœ… Mazingira bora ya biashara kwa wajasiriamali.

βœ… Ongezeko la mapato ya halmashauri.

βœ… Huduma bora karibu na wananchi. 

#MamaYukoKazini
account_circle