Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

ALIA NDUGU YAKE KUTEKWA

'Vilio vya wananchi kupotea na kupotezwa Vimekuwa vikubwa wananchi wanalia kupotelewa na ndugu zao.

Msikilize mwananchi kwenye video akilalamika kupotezwa kwa ndugu zake.'

Tuendelee kutoa taarifa za Kupotea au kutekwa kwa Ndugu,Jamaa,na marafiki kupitia…

account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Jamaa amefariki Alfajiri ya Leo kwa ajali ya pikipiki maeneo ya mbezi beach uko,

Pole kwa familia yake, marafiki na Ayo Tv kwa ujumla.

Jamaa amefariki Alfajiri ya Leo kwa ajali ya pikipiki maeneo ya mbezi beach uko,

Pole kwa familia yake, marafiki na Ayo Tv kwa ujumla.
account_circle
Iamtaita 👽(@taita_95) 's Twitter Profile Photo

Nakukalibisha kusikiliza wimbo wangu mpya 🙏
youtu.be/xJ7-SzohO4A?si…
🔥🔥🔥🔥🔥
Prod by Baganation

NISAIDIE KUSHARE KWA JAMAA NA MARAFIKI
usisahau ku subscribe chanel yangu 🙏🙏

account_circle
DC Umoja(@dcumoja) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa,
Days of Refreshing inawasili, hii ni juma la Uamsho na Maombi litaanza tarehe 20/05/24 kanisani.

Panga mapema kuhudhuria Juma hili la kipekee kutakuwa vipindi vya Uimbaji, Maombi na Mafundisho kila siku kuanzia saa 9:00 asubuhi.

Tukumbuke kualika ndugu, jamaa na marafiki.

account_circle
Flaviana Matata(@FlavianaMatata) 's Twitter Profile Photo

Shinyanga tumepoteza mmoja wa Mapdre wazuri sana, Pumzika kwa Amani rafiki wa familia yetu, Father Makolo. Msiba wako umeniumiza sana💔🥲, Shinyanga will never be the same without you. You were EXCEPTIONAL

Pole kwa Mhashamu Baba Askofu Liberatus, ndugu pamoja na marafiki wote.…

Lil_Dee😅(@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Jeans...!☻

• Kitu pekee unachoweza kulazimisha katika maisha yao.

• Ni kuvaa jeans tu.

• Lakini sio marafiki, wala mauhusiano.

□ Zetu Dagaa, Kuku Tamaa.

Jeans...!☻

• Kitu pekee unachoweza kulazimisha katika maisha yao.

• Ni kuvaa jeans tu.

• Lakini sio marafiki, wala mauhusiano.

□ Zetu Dagaa, Kuku Tamaa.
account_circle
Bob kipara(@_yourBoyli4) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa na uhakika wa kuingiza kipato kizuri usisahau kuwashika mkono ndugu na marafiki ulio hustle nao!!.

Mikono inayosaidia, huzidishiwa baraka na neema🙏🏻

Ukiwa na uhakika wa kuingiza kipato kizuri usisahau kuwashika mkono ndugu na marafiki ulio hustle nao!!.

Mikono inayosaidia, huzidishiwa baraka na neema🙏🏻
account_circle
DJ MAFUVU(@DJADMAFUVU) 's Twitter Profile Photo

Kwanini HIDAYA lakini!?😃😃😃 Eneweiz, kesho JUMAMOSI mapema sana 'UmEmE' Unawaka ndani ya KApaKA PuB Chamazi Kwa Mkongo🔥 Ambia Marafiki, FUVU La CHUMA, FUVU La TAIFA never disappoints! Ukikosa Ntalia sana😃😃😃🤸

'UmEmE' The Night Experience, We Party Different🔥

account_circle
Bonnie❤🇹🇿(@GuzmnChapo1) 's Twitter Profile Photo

Marafiki wapo na watapita. Ila kumbuka hali ya nyumbani kwenu itaendelea kudumu endapo utajifanya umesahau ulipotoka sababu ya hao marafiki. Nakukumbusha tu

Good morning friends

Marafiki wapo na watapita. Ila kumbuka hali ya nyumbani kwenu itaendelea kudumu endapo utajifanya umesahau  ulipotoka sababu ya hao marafiki. Nakukumbusha tu

Good morning friends
account_circle
Shilingi(@BwanaShilingi) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha, muombe Sana Mungu akupe marafiki Kama MwanaFa, rafiki yake AY marafiki ambao ukiwa na Jambo lako watakuja kushiriki haijalishi wao wamefanikiwa kiasi gani.

Kwenye maisha, muombe Sana Mungu akupe marafiki Kama MwanaFa, rafiki yake AY marafiki ambao ukiwa na Jambo lako watakuja kushiriki haijalishi wao wamefanikiwa kiasi gani.
account_circle
MJUKUU(@WideEdson) 's Twitter Profile Photo

Ukiamla salama usichoke kumshukuru Mungu maana kuna mtu alitamani nafasi kama yako na hajaipata🖋

Asubuhi kuna followers wakutosha shusha handle 👇🏿 ni kufollow Tuwe marafiki 🤝

Ukiamla salama usichoke kumshukuru Mungu maana kuna mtu alitamani nafasi kama yako na hajaipata🖋 

Asubuhi kuna followers wakutosha shusha handle 👇🏿 ni kufollow Tuwe marafiki 🤝
account_circle
@officialmansour(@MansourMood) 's Twitter Profile Photo

Vaa Viatu Hivi na Kanzu ili Upendeze !

Unajiuliza ni design ipi ya itakupa muonekano mzuri ya marafiki zako.

Tunakupa Offer ya punguzo la bei leo hii..

Bei ya kawaida Elfu 25
Offer Elfu 20
Okoa Elfu 5
Free delivery
Simu 0718846654
Mike Jumanne Mtambalike Hatwabi Ramadhani

account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Marafiki wa kike ambao hawana noma kukupigia assist kwa marafiki zao pisi kali wana nafasi yao special mbinguni

Marafiki wa kike ambao hawana noma kukupigia assist kwa marafiki zao pisi kali wana nafasi yao special mbinguni
account_circle