Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Script haikukaririwa vizuri eeh. Director hakutoa maelezo vizuri studio. Amefeli. Mnatuchanganya sana waombolezaji. Tunaelewa lakini. Acheni hii tabia. Anyways, tuliosikia neno “FUTA” tukutane Mikocheni, msibani usiku huu.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Maeneo ambayo yanakwenda kukosa maji kwa saa zaidi ya 36 jijini Dar es Saalam.

Bagamoyo, Mapinga, Mabwepande, Bunju, Tegeta, Kunduchi, Mbweni, Boko, Salasala, Goba, Mivumoni, Madale, Goba, Kawe, Lugalo, Makongo, Chuo Kikuu UDSM, Mwenge, Chuo Kikuu Ardhi, Kijitonyama, Mikocheni,…

Gabriel D Minzemalulu(@Gabe_2310) 's Twitter Profile Photo

After 9 weeks mentoring at Mikocheni Secondary School for SmartGirlzInICT_tz, thrilled to share our ICT enthusiasts placed first runner up! 🏆 Big shoutout to the kids' dedication and teamwork and to my fellow mentor(s). Thanks to the Most High for guiding them! 🙏

account_circle
Arnold Shoko(@shokojr_) 's Twitter Profile Photo

Wazee leo Maeneo ya Mikocheni mbele kidogo na Palm Village Nimekula hiyo Iftari Moja 🙌🏿🙌🏿. Class ya juuu kabisa , kila kitu kinaslap asee kuanzia ndizi za kupaka mpaka mishikaki ya Nundu .
Na juice ya Miwa 🤤🤤🤤.

Panaitwa Adams ukipata wasaa nenda hapo asee

account_circle
Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

'Na hatupaswi kumchukua (Mtuhumiwa) kwenye giza kama ni pale Mikocheni tunakuja mchana kweupe. Tunajitambulisha wala hatusubiri kwenye giza na hivyo vitambulisho vya kupeana kwenye giza vya kumulika na tochi. Kama anavyosema Polisi alisema samahani tunaomba tuongee kidogo, sisi…

Tanzania Leaks(@TanzaniaLeaks) 's Twitter Profile Photo

Utawala wa Samia unagubiwa na mambo ya ajabu kweli kweli. Hivi Jerry Silaa anatoa wapi hela kama hii? Ni sadaka au Rushwa kwa maaskofu kama Malasusa? Pale Mikocheni alitaka 1BILLION, iliposhindikana, aliwaita waandishi wa habari kumkaanga muwekezaji wa watu. Yanamwisho.

minah🌹(@queeen_minah) 's Twitter Profile Photo

We drove all the way to Bagamoyo to doll up my beautiful client Lailah for her Nikkah😍🔥 MaashaAllah

Call/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Mikocheni, Rose Garden Rd

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kutolewa hati mara moja ya Viwanja namba 403 na 405 Mikocheni kwa Mwanamke aitwaye Victoria Aminiel ambaye amekuwa akivifuatilia tangu 1995 na vimekuwa vikikaliwa kwa nguvu na Paul Mushi ambaye siku chache…

account_circle
Daktari Wa Manesi 💉💊(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Fanya futari yako kuwa ya kipekee na TemboCard 💳 na kadi ya Al Barakah!

Lipia futari kwenye migawaha na hotel kama Golden Fork (Sinza/Mikocheni), Buheti House of Food (Kijitonyama), Veal Restaurant (Makumbusho), Downhill (Mlimani City), Terrence Lounge (DFM), Golden Fork…

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Msafara wa viongozi wa CHADEMA umeondoka muda huu kutokea Makao makuu ya CHADEMA,Mikocheni kuelekea Jijini Mwanza kwa ajili ya maandamano ya Alhamisi wiki hii.

Msafara huo unatarajiwa Kuingia Jijini Mwanza kesho asubuhi.

#MAANDAMANOYAMWANZA
account_circle
Joseph Mbilinyi(@TheRealJongwe) 's Twitter Profile Photo

Kesho Jumamosi Januari 13, 2024 saa tano kamili asubuhi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari, utakaofanyika Makao Makuu mapya ya Chadema yaliyopo Mikocheni, Dar es salaam. Vyombo vya habari vinakaribishwa.

Kesho Jumamosi Januari 13, 2024 saa tano kamili asubuhi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari, utakaofanyika Makao Makuu mapya ya Chadema yaliyopo Mikocheni, Dar es salaam. Vyombo vya habari vinakaribishwa.
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Furahia mfungo wa Ramadhan na futari ya kipekee huku ukirudishiwa hadi 10% ya malipo yako ukiwa na Simba Card! au master card yoyote kutoka CRDB Bank

Enjoy futari ukiwa na wapendwa wako katika maeneo haya ya hotel na migahawa

Golden fork - Sinza
Golden fork - Mikocheni
Buheti…

account_circle
cousin 420(@420Cousin) 's Twitter Profile Photo

Ila Mnyika hana aibu ameona ofisi ya Mikocheni inaweza kupigwa mnaada ameanzisha michango awe na Ofisi yake Kibamba ile ya Ufipa hawaitaki tena.

Ila Mnyika hana aibu ameona ofisi ya Mikocheni inaweza kupigwa mnaada ameanzisha michango awe na Ofisi yake Kibamba ile ya Ufipa hawaitaki tena.
account_circle
Atuza(@atuzankurlu) 's Twitter Profile Photo

Love is in the air, and so is the perfect gift! 💘

Discover the perfect Valentines gift at our shop - from Oxfords to Chelsea boots, Loafers, Mules, Slides, Socks and Ties.

Visit our store at Mikocheni, Rose Garden Road📍

Inquiries: 0748 634 321 or 0784 436 380

account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Palm Village Apartments Mikocheni pamebarikiwa mandhari, location na shopping mall !!!! kutembelea hapa au kuishi hapa ni kuona kwingi 😀 sitaki kuandika sana leo ila hii picha nimepiga kwa simu saa tano hii na nimegoma kuipaka filta !! wale wa DIASPORA mnaotaka kununua Apartment…

CoCo🍫💦(@YourFrenchFry) 's Twitter Profile Photo

NOELA's BIRYANI

Biryani Kuku 10,000/=
Biryani Nyama 7,000/=

Ukitoa order 5, unapata order 1 FREE

Delivery BURE selected areas; Sinza, Mwenge, Kinondoni, Mikocheni, Masaki, Ilala, Magomeni, Kariakoo, Oysterbay

6 na nusu mchana iko tayari

IJUMAA TU

Mpigie NOELA 0686 174 691

Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefungua shauri Mahakamani kupinga kuuzwa kwa nyumba yake iliyopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini, Mahakama iliamuru kukamatwa na kupigwa…

'Watu wengi wamemuelezea vizuri Mzee Mwinyi alivyokuwa  jasiri, mnyenyekevu, muungwana, mzazi na mlezi, ameelezewa pia alivyofanya mageuzi ya kiuchumi na kufungua nchi, mfano mmoja (close to home) ni namna alivyotoa kibali cha kufunguliwa Hospitali binafsi ya TAG Mikocheni…