Latto ๐•(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mtoto hapo juu kafikaje?

Asee kuna watoto ni watundu๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ

Angalia alivyookolewa!

Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Mtoto hapo juu kafikaje?

Asee kuna watoto ni watundu๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ

Angalia alivyookolewa!

Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
account_circle
KIJANAMWEUPE.(@dullahIcon) 's Twitter Profile Photo

Naona abbah kaona zombie anavuka mipaka kamchana kuwa yeye baado mtoto mdogoo aachane na Amapianooo hizoo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

IG story ๐Ÿงต Iko chini hapo ๐Ÿ‘‡

Naona abbah kaona zombie anavuka mipaka kamchana kuwa yeye baado mtoto mdogoo aachane na Amapianooo hizoo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

IG story ๐Ÿงต Iko chini hapo ๐Ÿ‘‡
account_circle
Latto ๐•(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Nimependa sana namna hawa wazungu wanavyoiimba hii nyimbo ya KISWAHILI, vizuri sana

Hii nyimbo nimekuwa naijua tangu nikiwa mToto๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ

Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Nimependa sana namna hawa wazungu wanavyoiimba hii nyimbo ya KISWAHILI, vizuri sana

Hii nyimbo nimekuwa naijua tangu nikiwa mToto๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ

Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
account_circle
Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Wasijifiche kwenye kivuli cha anakwamishwa au anazungukwa huyu Mama hana uwezo wa kuongoza ziko sababu 5
1. Amejawa na Tamaa tu za uongozi ili asafiri, awape vyeo wakwe zake akina mchengerwa na mtoto wake Abdul
2. Ameshindwa kulinda Katiba pamoja na ubovu wake ila kaikanyaga naโ€ฆ

Chris Mauki. PhD(@Chris_Mauki) 's Twitter Profile Photo

Kuna umri ukifika, usipoziba masikio na kukaza moyo kukabiliana na sauti za utaoa lini, utaolewa lini, mtoto lini? Mjukuu anakuja lini? Utajikuta umefanya maamuzi mabovu na siku unafikia kujuta, waliokupayukia hawapo

Kuna umri ukifika, usipoziba masikio na kukaza moyo kukabiliana na sauti za utaoa lini, utaolewa lini, mtoto lini? Mjukuu anakuja lini? Utajikuta umefanya maamuzi mabovu na  siku unafikia kujuta, waliokupayukia hawapo #ChrisMauki
account_circle