π’πˆπŒππ€ πŒπ¬π’π¦π›πšπ³π’πŸ‘‘(@SimbaScTweet) 's Twitter Profile Photo

Chochote anacho kifanya Engineer na genge lake Babra Gonzalez alikifanya miaka kibao nyuma. Simba lazima tukubari tumepoteza kiongozi makini sana aliye kuwa na maono ya mbali.

Uto wanajitahidi kupita njia zetu ndo mana tunasema hatuna cha kujifunza kutoka kwao.

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

23.12.2018 historia iliandikwa, Simba SC ikitinga hatua ya makundi ya CAFCL

Bao la tatu la Tripple C, goli zababibu lilomfanya Baraka Mpenja kutema maneno haya hadharani pale Benjamin Mkapa Stadium

Ni wachezaji wanne pekee waliosalia kwenye kikosi cha sasa walioanza mchezo ule

Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Timu zenye makombe mengi ya Ligi Kuu Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

➑️ Young Africans 3️⃣0️⃣
➑️ Simba Sc 2️⃣2️⃣

Timu zenye makombe mengi ya Ligi Kuu Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

➑️ Young Africans 3️⃣0️⃣
➑️ Simba Sc 2️⃣2️⃣
account_circle
Africa Facts Zone(@AfricaFactsZone) 's Twitter Profile Photo

Simba SC have placed a $1 million price tag on 28-year-old Kenyan Defender, Joash Onyango.

Orlando Pirates are interested in signing him, but they've been told they either pay the asking price or no deal.

Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

β€œVijana mtani-miss sana” ni ujumbe wa Mshambuliaji wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza kwenye video iliyopo kwenye insta story yake akiwa na wachezaji wenzake Chama na Miquissone.

✍️ Je, Mkongwe Saido ndio anaaga kuondoka Simba Sc au yeye anabaki Simba huku wengine wakiondoka?…

Dar24(@Dar24News) 's Twitter Profile Photo

β€œKitendo changu cha kushangilia kilikuwa ni kuzifikishia ujumbe timu kubwa hapa Tanzania ambazo ziliwahi kuniacha na kunikataa kwa madai nimezeeka.”

β€œMbali na kuifunga Simba SC nilipanga pia kuzifunga Young Africans ambao walinusurika kidogo sambamba na Azam FC, lakini

β€œKitendo changu cha kushangilia kilikuwa ni kuzifikishia ujumbe timu kubwa hapa Tanzania ambazo ziliwahi kuniacha na kunikataa kwa madai nimezeeka.”

β€œMbali na kuifunga Simba SC nilipanga pia kuzifunga Young Africans ambao walinusurika kidogo sambamba na Azam FC, lakini
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

β€œKocha aliyepita (Benchikha) alisema wachezaji hawafundishiki lakini kocha Mgunda amekuja amewaamini wachezaji wengine ambao ni vijana na wanafanya vizuri”____ Shabiki wa Simba Sc.

account_circle