Dr SALUMU(@Dr_salumu) 's Twitter Profile Photo

Matumizi ya vyakula kuboresha afya

😷KIKOHOZI: Asali na tangawizi
🤕KICHWA: Apple na maji
🤮KUTAPIKA: Tangawizi na parachichi
🩸DAMU: Spinach na tembele
😴USINGIZI: Ndizi na maziwa
🦷JINO: Mafuta ya mkarafuu
❤️MOYO: Mafuta ya zaituni
🏋️‍♀️GYM: Tikiti maji
🤧MAFUA: Supu ya kuku

Matumizi ya vyakula kuboresha afya

😷KIKOHOZI: Asali na tangawizi
🤕KICHWA: Apple na maji
🤮KUTAPIKA: Tangawizi na parachichi
🩸DAMU: Spinach na tembele
😴USINGIZI: Ndizi na maziwa
🦷JINO: Mafuta ya mkarafuu
❤️MOYO: Mafuta ya zaituni
🏋️‍♀️GYM: Tikiti maji
🤧MAFUA: Supu ya kuku
account_circle
TricyLove🦁(@amprincess9) 's Twitter Profile Photo

Jana nimekunywa juisi ya miwa kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikuambiwa!!!!

Imewekewa ndimu & tangawizi halafu ya baridiii

Nilichelewa mno😫

Jana nimekunywa juisi ya miwa kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikuambiwa!!!!

Imewekewa ndimu & tangawizi halafu ya baridiii

Nilichelewa mno😫
account_circle
maila(@maila_kasorii) 's Twitter Profile Photo

Hii ni zaidi ya Mkongo na Viagra,Kama unahitaji hii kitu 'AKAYABAGU TANGAWIZI NO1' check na mimi Whatsapp...🔥🙌🙌

Hii ni zaidi ya Mkongo  na Viagra,Kama unahitaji hii kitu 'AKAYABAGU TANGAWIZI NO1' check na mimi Whatsapp...🔥🙌🙌
account_circle
Ms Pacome💚(@NifferSanchoo) 's Twitter Profile Photo

Asali ya nyuki wadogo, kijiko kimoja cha mdalasini pamoja na tangawizi husaidia kuimarisha nguvu za kiume na kuimarisha tendo🔥🔥

Karibu Salbena Honey tukupe kilicho bora

30k, 15k na 8k

0754618108/ 0655459259

Ubungo Riverside

Asali ya nyuki wadogo, kijiko kimoja cha mdalasini pamoja na tangawizi husaidia kuimarisha nguvu za kiume na kuimarisha tendo🔥🔥

Karibu @salbenaproducts tukupe kilicho bora

30k, 15k na 8k

0754618108/ 0655459259

Ubungo Riverside
account_circle
Mr Health💊💉(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

COMBO YA LEO: Maziwa mtindi+ Karanga Mbichi + Parachichi + Tangawizi+ Habat soda ya unga na Asali Mbichi vijiko 3.

NO ADDITIONAL SUGAR ..🍆💦🥵

COMBO YA LEO: Maziwa mtindi+ Karanga Mbichi + Parachichi + Tangawizi+ Habat soda ya unga  na Asali Mbichi vijiko 3.

NO ADDITIONAL SUGAR ..🍆💦🥵
account_circle
Ms Bee🌹(@iamcleopatricia) 's Twitter Profile Photo

FAIDA ZA ASALI

Tangawizi na Mdalasini

1. Mzunguko Mzuri wa Damu

Ili uume usimame vizuri na kwa muda mrefu ni lazima damu iwe inaingia na kutoka vizuri katika mishipa ya uume. Mchanganyiko wa asali ya nyuki wadogo, tangawizi na mdalasini hufanya jambo hili kuwa jepesi.

2.…