Bunge la Tanzania(@bunge_tz) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.Hafla hiyo imeafanyika leo tarehe 8 Mei, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC

account_circle
TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge duniani, Dkt. Tulia Ackson amesema nishati safi ya kupikia italeta manufaa makubwa katika jamii hasa kwa wanawake kwani pia itawakomboa kiuchumi

Cyprian, Is Nyakundi(@C_NyaKundiH) 's Twitter Profile Photo

Hi Nyakundi. Officers living at EAST CAPITAL APARTMENTS - in Umoja. We buy water from Monday to Monday. What if the water is infected? Every officer and their family would be at risk of contamination and potential death. We had a borehole that no longer works. The city council…

Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Africa ni bara la 2 kwa ukubwa na kwa Idadi kubwa ya watu. Lakini kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuna nchi 5 tu zenye nguvu ya kura ya Veto na kwenye nchi hizo hakuna hata moja ya Afrika. Nchi ndogo kama UK ina nguvu ya Veto ya kuamua mambo yanayoihusu Afrika yote.

Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam

VIDEO:

▪️WATANZANIA NA DUNIA INAKUELEWA RAIS SAMIA, UMEMKOMBOA MWANAMKE KIUCHUMI- DKT. TULIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa…

account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA NCHI YETU & TAIFA LETU:
Mungu ametupa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Amabaye Analinda Umoja, Amani na Upendo wa Nchi yetu. Tunajivunia Kuzaliwa Tanzania.

#IkuluMawasiliano #IkuluTanzania
account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Hotuba ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

account_circle
Senior Presidential Advisor on Diaspora Affairs(@spadiaspora) 's Twitter Profile Photo

Reflecting on the insightful Umoja Wa Amani Kwanza conference at Florida Hotel, where patriotism, peace, and collaboration took center stage. Amb. Abbey Walusimbi as the Chief Guest, launched UAK in Uganda we're he reminded of the power of positivity and unity in driving change.

account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

“Nilimuuliza Mudathir sasa hivi sioni simu ikiita vipi ile namba haipatikani, akaniambia simu yangu imeibiwa, nikamwambia siku zote hizo mbona hautoi taarifa? Wananchi watambue umeibiwa, Kwa nguvu yao na umoja wao simu itapatikana siku sio nyingi,” Beki wa Yanga Sc, Dickson Job.

MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Umoja wa Mataifa, UN, umeelezea siku ya Jumatano, wasiwasi wake kutokana na idadi kubwa ya visa vya maradhi ya kipindupindu ambavyo vimeripotiwa nchini Kenya, wakati mvua kubwa na mafuriko yakiendelea kushudiwa katika taifa hilo.

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Nawashukuru wote ambao wamepambana kuhakikisha naendelea kuwa uraiani kwa kupambana kuniwekea dhamana Mahakama ya Kisutu siku ya leo.

'Marafiki zetu ndiyo Ulinzi wetu,na Umoja wetu ndiyo Silaha yetu..'

Nahaidi kuendelea kuwa mtumishi wenu wa umma,Sitorudi nyuma.

account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

'Kama tunavyofanya uwekezaji kuokoa maisha ya mama na mtoto vivyo hivyo hatuwezi kukubali kupoteza sehemu ya nguvu kazi yetu ya Taifa hasa wanawake kwa sababu matumizi ya nishati sio safi. Kwahiyo inabidi tufanye kila tunaloliweza kwa umoja wetu tutumie mkakati huu tunaouzindua…