mwijaku(@MwijakuBurton) 's Twitter Profile Photo

FeyToto amekubali kurudi YANGA . Maisha haya yanafunzo kubwa sana tena saaaaana ๐Ÿ™๐Ÿพ๐Ÿ™๐Ÿพ

account_circle
๐‘ซ๐’“.๐‘ฏ๐’Š๐’๐’‚๐’“๐’š ๐’˜๐’‚ ๐’€๐’‚๐’๐’ˆ๐’‚(@Daktariwayanga) 's Twitter Profile Photo

Yanga wapo tayari kumpa Dickson Job fedha ya usajili 500mtsh ila ugumu unakuja kwenye mshahara wa mchezaji huyo. Job ameshikilia msimamo wake kwamba anataka mshahara wa milioni 15 wakati Yanga wao hawako tayari kumpa hiyo milioni 15.

Gery(@Gery_Gerrald) 's Twitter Profile Photo

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea.

Ubunifu.

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea. 

Ubunifu.
account_circle
Eric NDAGIJIMANAยฎ๏ธ(@EricNdagije250) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿšจ JUSTIN

Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ has sent a two-year contract offer to the manager of Kibu Denis๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ named Carlos Sylivester, an offer with a salary of 15 million shs per month and Signing fees of 350 million shs on the terms of paying 200 million shs in the first phase and 150 million shs

iddy nonga(@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

๐ŸšจFikiria hii,muachie Kibu aende zake huko anapotaka kwenda,chukua mzigo halafu msajili Mzize,muwekee mara mbili ya anacholipwa Yanga,mshawishi kwa kumwambia hapo Simba atakuwa ndio mchezaji tegemeo,halafu mpe uhuru wa nani anamtaka asajiliwe nae,ni akili tu mtu wangu,ni akili tu

Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Wakati Simba tuna hangaika na Kibu denis Yanga wao wanabembelezwa na wachezaji kuomba mkataba.!!

Lomalisa yupo anasubili kama Yanga watamuongezea Mkataba.

Mbwana Mshindo(@mbwana_mshindo) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฐYanga imekuwa ikivutia wachezaji wengi misimu hii mitatu. Sistashangaa kama Kibu Dennis akienda Jangwani kutimiza ndoto zake.