Bm Mwakalobo(@BmMwakalobo) 's Twitter Profile Photo

Maisha anayopitua yangasc ndio vitu ambavyo vinawashawishi wachezaji wengi wa timu kubwa Tz kuitaka yangasc.
Jamaa alionekana Hana nizamu ufikapo mwishoni mwa msimu lakini jamaa hajawai hata kuchelewa Mazoezini Toka afike yanga.

Maisha anayopitua #Jonas_Mkude yangasc ndio vitu ambavyo vinawashawishi wachezaji wengi wa timu kubwa Tz kuitaka yangasc.
Jamaa alionekana Hana nizamu ufikapo mwishoni mwa msimu  lakini jamaa hajawai hata kuchelewa Mazoezini Toka afike yanga.
account_circle
Gery(@Gery_Gerrald) 's Twitter Profile Photo

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea.

Ubunifu.

Yanga Sc, imewatengenezea wachezaji wake soksi maalumu (customised) kutokana na Nchi wanazotokea. 

Ubunifu.
account_circle
A FM RADIOTZ(@AFMRadioTZ) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Kumpiga Mtani na Kutoka na Alama Tatu Muhimu, Wazee wa Klabu ya Yanga SC Wameamua Kujipongeza Kwa Ushindi Huo na Kula Pilau ya Pamoja.

✍️ By MeaMswahili

Instagram, X, Tiktok: : @afmradiotz
Facebook : @kuwatofauti
YouTube: : Adigital Tz
Listen live on TuneIn.

account_circle
Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Eng. Hersi Said - Kiongozi Yanga Sc
Murtaza Mangungu - Kiongozi Simba Sc
Yusuf Bakhresa - Kiongozi Azam Fc

Ni nani utendaji wake unakukosha unatamani angekuwa kiongozi kwenye timu yako pendwa, tuambie kupitia comment yako hapo chini 👇🏼

✍🏽 𝐿𝓊𝓁𝓊

✍🏽 @bintiiringo

#WasafiSports
account_circle
MASHUJAA FC(@MASHUJAA_FC) 's Twitter Profile Photo

🚨 KANASA 🦍💪

Mashujaa fc 🆚 Yanga Sc
🏆
🕒 Saa 10 Jioni
🗓️ 05.05.2024
🏟️ Lake Tanganyika

Usi-left group, Shujaa hasaliti chama

Nb: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MCHEZO WA TAREHE 05.05.2024

🚨 KANASA 🦍💪

#NextMatch
Mashujaa fc 🆚 Yanga Sc
🏆 #NBCPremierLeague
🕒 Saa 10 Jioni
🗓️ 05.05.2024
🏟️ Lake Tanganyika

Usi-left group, Shujaa hasaliti chama

Nb: PICHA HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MCHEZO WA TAREHE 05.05.2024
account_circle
Eric NDAGIJIMANA®️(@EricNdagije250) 's Twitter Profile Photo

🚨 JUSTIN

Yanga SC 🇹🇿 has sent a two-year contract offer to the manager of Kibu Denis🇹🇿 named Carlos Sylivester, an offer with a salary of 15 million shs per month and Signing fees of 350 million shs on the terms of paying 200 million shs in the first phase and 150 million shs

Prisca Kishamba(@PKishamba) 's Twitter Profile Photo

DAAAAH ILA HUYU MWAMBA GEOFF LEA🙌

Mchambuzi wa Soka Triumphtzy anaonekana kuwa na Mashaka kwanini Kiungo wa Yanga Sc Pacome ZouZoua hachezi hadi leo wakati taarifa alizonazo ni kwamba professor Pacome yupo sawa na yupo tayari kucheza! Sasa anachojiuliza je ni kwanini Yanga…

account_circle
Bm Mwakalobo(@BmMwakalobo) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo wazee zile mada za yanga sc kufungiwa na FIFA Kisa hawajakamilisha usajili wa pacome zimeishaje wakuu?😃
Au Tuanzishe mada mpya kwa kambole!🤣

✍️🇹🇿

Kwahiyo wazee zile mada  za yanga sc kufungiwa na FIFA Kisa hawajakamilisha usajili wa pacome zimeishaje wakuu?😃
Au Tuanzishe mada mpya kwa kambole!🤣

#Bm_Mwakalobo✍️🇹🇿
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

KAMWE NA MECHI YA WATANI: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametaja sababu zilizowasukuma kuwapa wazee mechi ya NBC Premier League dhidi ya watani wao Simba SC iliyopigwa Aprili 20, 2024.

(Imeandikwa na Ally Bakari )

account_circle
Abissay Stephen Jr(@abissay_stephen) 's Twitter Profile Photo

Mpaka hivi sasa, Yanga SC ili iwe bingwa inahitaji alama 11 (Ushindi games 4 tu) kufikisha alama 73 ambazo hazitoweza kufikiwa na timu yeyote. Azam ikishinda mechi zake 6 zilizobaki itafikisha alama 72 na Simba ikitokea imeshinda games zake 8 zilibaki itafikisha alama 71.

EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

: Timu ya Wananchi Yanga SC imefungiwa kufanya usajili wa kimataifa na shirikisho la soka Duniani FIFA na usajili wa ndani na shirikisho la soka Tanzania TFF.

Yanga imefungiwa kufanya usajili baada ya kushindwa kumlipa kwa wakati mchezaji wa kimataifa wa Zambia Lazarus…

#MICHEZO: Timu ya Wananchi Yanga SC imefungiwa kufanya usajili wa kimataifa na shirikisho la soka Duniani FIFA na usajili wa ndani na shirikisho la soka Tanzania TFF.

Yanga imefungiwa kufanya usajili baada ya kushindwa kumlipa kwa wakati mchezaji wa kimataifa wa Zambia Lazarus…
account_circle
Nassib Mkomwa(@Nassibmkomwa_) 's Twitter Profile Photo

Yanga SC msimu huu itabeba ubingwa wa 30 wa ligi kuu, nimepata taarifa kutoka ndani ya Yanga kuna maandalizi makubwa yanafanyika ndani kwa ajili ya sherehe za ubingwa, licha ya parade ila pia watafanya sherehe maalumu pamoja na kuzindua baadhi ya bidhaa zenye nembo za Yanga.

Yanga SC msimu huu itabeba ubingwa wa 30 wa ligi kuu, nimepata taarifa kutoka ndani ya Yanga kuna maandalizi makubwa yanafanyika ndani kwa ajili ya sherehe za ubingwa, licha ya parade ila pia watafanya sherehe maalumu pamoja na kuzindua baadhi ya bidhaa zenye nembo za Yanga.
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

HERSI AWAPA OFA WAZEE YANGA: “Ninatarajia wao kupata usafiri, tiketi na wote kuwepo Chamazi wakati wa mchezo wetu wa robo fainali” Maneno ya Rais wa Yanga SC, Hersi Said akitoa maagizo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Andre Mtine kuhakikisha wazee wa timu hiyo wanafika Azam…

account_circle