Matiç Tza(@MaticTza) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Dar Young Africans imetangaza kumsajili kiungo wa zamani wa Azam FC, Mudathir Yahya ambaye pia alikuwa akihusishwa kujiunga na Simba SC.

#PlusXtraUpdates
account_circle
The IQ🦅(@muchknower) 's Twitter Profile Photo

'Ni kweli nkwa hii new freestyle Lunya kaonyesha flows galore lakini lyrically Lunya anasubiri sana kwa Killer. (achilia mbali Killer ana catalog iliyoshiba tayari).

Killer anakalisha hata baadhi ya kaka zake, lyrically Speaking' - .

'Ni kweli nkwa hii new freestyle Lunya kaonyesha flows galore lakini lyrically Lunya anasubiri sana kwa Killer. (achilia mbali Killer ana catalog iliyoshiba tayari).

Killer anakalisha hata baadhi ya kaka zake, lyrically Speaking' - #Wakazi.

#PlusXtraUpdates
account_circle
Plus TV(@plustvtz) 's Twitter Profile Photo

Yanga na Kagera Sugar wagawana pointi baada ya kusuluhu katika uwanja wa Kaitaba.

FT: Yanga 0⃣ - 0⃣ Kagera Sugar

Yanga yapata ushindi wa goli moja dakika za mwisho dhidi ya Dodoma Jiji, Chamazi Complex

FT: YANGA 1⃣ - 0⃣ DODOMA JIJI

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa, Bertrand Traore (28) raia wa Burkina Faso amevunja mkataba na waajiri wake hao na kutimkia Uhispania kwenye klabu ya Villarreal akiwa kama mchezaji huru.

ZBC Zanzibar(@zbc_zanzibar) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka duniani FIFA mpaka pale itakapomlipa stahiki zake kinda la zamani la Newcastle United, Gael Bigirimana ambaye waliachana nae baada ya kushindwa kuonyesha makali.

Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka duniani FIFA mpaka pale itakapomlipa stahiki zake kinda la zamani la Newcastle United, Gael Bigirimana ambaye waliachana nae baada ya kushindwa kuonyesha makali.

#PlusXtraUpdates
account_circle
Plus TV(@plustvtz) 's Twitter Profile Photo

nao kazi mwishoni mwa msimu huu.

Kinda huyo ameigomea ofa ya muda mrefu kutoka kwenye klabu ya Barcelona nchini Uhispania na kuamka kutimkia Uingereza.

Je, amefanya maamuzi sahihi?

account_circle
Plus TV(@plustvtz) 's Twitter Profile Photo

tasnia ya filamu, mwanariadha mahiri, muigizaji na mtu mwema sana kuwahi kumfahamu”

“Tusingeweza kukamilisha filamu ya 'Predator' bila ya umahiri wake na muda mzuri wakati wote wa kazi ya utengenezaji wa filamu hio” amesema Arnold Schwarzenegger

R.I.P Legend🕊

account_circle