MR RIGHT™🇰🇪(@MrRightke) 's Twitter Profile Photo

Man, I feel like we should have a day to celebrate great Kenyans who have already passed away. Ain't no way y'all forgot Ken Walibora hivo tu. Almost us all are products of his creative swahili work🙏💯

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hakutakuwa na msamaha kwa wakusanyaji wa kodi kwa niaba ya Serikali ambao hawawasilishi mapato serikalini badala yake wanajinufaisha wao wenyewe.

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Jumapili, Mei 12, sehemu kubwa ya Afrika Mashariki na Kusini ilikosa huduma ya intaneti, huku miundombinu ya intaneti inayopita chini ya ardhi ikitajwa kama ndio chanzo kikubwa cha tatizo hilo ambalo limeleta athari kwa mamilioni ya watu.

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Wataalam wa afya wanaonya kwamba hivi karibuni magonjwa yanayotokana na maji kama kipindupindu yataanza kujidhihirisha ikiwa tahadhari haitachukuliwa.

account_circle
Sheldrick Wildlife Trust(@SheldrickTrust) 's Twitter Profile Photo

This , we're celebrating Raha! Her name means ‘joy’ in Swahili. It's a fitting word to associate with this brave little rhino who has overcome enormous odds to be here today, much like her species as a whole.

She arrived in our care 1 year ago; this was filmed soon

account_circle
Hum Babah(@IamHumbaba) 's Twitter Profile Photo

Nafeel uyu msee
But I am happy aliamua kupeana Interview in Swahili more so sheng.
Hakuna haja ya kuforce ngoso

account_circle
TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Kenya inahesabu hasara ambayo imeletwa na mafuriko katika sekta ya utalii.

Wizara ya Utalii ililenga kuongeza idadi ya watalii wa kimataifa kutoka milioni 1.9 hadi milioni 3 ifikapo mwisho wa 2024 lakini lengo hilo linaweza lisifikiwe kutokana na mafuriko.

account_circle