TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa Kilifi Gideon Mung'aro alilazimika kubadili mawazo yake kuhusu tishio lake la kuondoa na kusafirisha miili ya wahasiriwa wa shakahola ambazo zimehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali ya kaunti ndogo ya Malindi hadi Nairobi.

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Wakati shule zinajiandaa nchini kufunguliwa kwa muhula wa pili kesho, hali katika baadhi shule kaunti ya Homa Bay ni mbaya. Familia zilizopiga kambi katika shule kutokana na athari za mafuriko zikianza kuhamishwa hadi kanisani ili kutoa nafasi kwa ufunguzi wa shule.

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Rais William Ruto kuliongoza taifa katika upanzi wa miche siku ya ijumaa katika msitu wa kiambicho kaunti ya Murang'a, kampeni ya upanzi wa miti bilioni 15 ifikiapo mwaka wa 2032. Wizara ya mazingira imetoa ratiba ya kuongoza shughuli hiyo ya kila mwezi.

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

SOLEMBA YA MADAKTARI WAKUFUNZI?

Mgomo wa madaktari umemalizika siku ya 59.

Madaktari wanagenzi wanahisi wamesalitiwa na KMPDU

Madaktari wanagenzi watakaa nyumbani kwa miezi miwili ya ziada.
Paul Kirobi

account_circle
Esky(@deejayesky) 's Twitter Profile Photo

Pick of the day

Code 7GCX4

Join Paripesa via bit.ly/paripesabetsy promocode Meme4

Uhuru Kenyatta Breaking news ERIC Omondi ngong Road Ugandans dictator Congratulation Kirwa Nyalenda Jono Tv47Wikendi Babu Owino Earthquake Kenyan Air Force Alai

Pick of the day

Code 7GCX4

Join Paripesa via bit.ly/paripesabetsy promocode Meme4 

Uhuru Kenyatta Breaking news ERIC Omondi  ngong Road Ugandans dictator Congratulation Kirwa Nyalenda Jono Tv47Wikendi Babu Owino  Earthquake Kenyan Air Force Alai
account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Mswada wa fedha wa 2024, unaopendekeza ushuru zaidi kwa bidhaa na huduma muhimu kama njia ya kutafuta mapato zaidi ya kukwamua uchumi wa taifa sasa umeibua hisia miongoni mwa viongozi pamoja na wakenya.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

AFC Leopards wamenadikisha ushindi wa bao moja kwa sufuri dhidi ya Bandari kwenye mechi ya raundi ya 18 ya ligi kuu ya soka nchini Kenya.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Mkongani Boys na Kachochoroni Girls wamejikatia tiketi ya kushiriki kwenye fainali ya kitaifa ya dimba la Europe Day baada ya kutwaa ubingwa.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imetoa tahadhari kuhusu mvua kubwa inayoendelea, hususan mwezi wa mei, ambayo inaadhiri Nairobi, Pwani, Bonde la ufa, na maeneo ya Nyanza.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Muungano wa wauguzi nchini kenya umetishia kujiunga na mgomo wa madaktari ambao umekumba taifa kwa zaidi ya siku 50 kwa sasa ikiwa serikali haitazingatia masharti yao ya kuhudumu.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Wadadisi sasa wanasema, msimu wa tohara katika jamii za Sabaot, Bukusu na Batura katika kaunti ya Bungoma huchangia pakubwa ongezeko la visa vya mimba za mapema na hata dhuluma za kijinsia.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Wakati mafuriko yanayoendelea kuleta uharibifu na hasara nchini hasa katika kaunti ya Homa Bay, mgogoro mpya unatokea wakati wasiwasi unapoongezeka kuhusu usalama wa mtoto wa kike, ambaye sasa anakabiliwa na hatari kubwa ya unyanyasaji wa kijinsia.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Waathiriwa wa mkasa wa mafuriko eneo la Mai Mahiu katika kaunti ya Nakuru wameanza kuhamishwa rasmi leo kwenye nyumba za kukodisha kwa wale waliokuwa wamekodi awali, na kwa makao ya muda kwa wale walio na ardhi humo.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

MATAYARISHO YA LIONESSES

Timu ya taifa ya Lionesses imekita kambi ugani Kasarani

Lionesses inajiandaa kwa michuano ya kufuzu kwa Olimpiki

Kikosi hiki kutashindana nchini Poland na Uhispania

Paul Kirobi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

MZOZO WA SHAMBA KAREN

Vurugu ilitokea kwenye barabara kuu ya Southern bypass

katika eneo ya Mamba village mtaani Karen

Kufuatia mzozo wa kipande cha ardhi takriban ekari 66
Paul Kirobi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Kila jumapili ya pili mwezi mei ulimwengu huadhimisha siku ya akina mama, hapa nchini wakenya wametumia fursa hii kuwapongeza mama mzazi na wale waliochukua majukumu ya kuwa walezi wao. Sherehe hii ilifungua mwanya wa biashara kwa wengine.

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

HASARA YA BOMOA BOMOA KANDUYI

Watu wawili waokolewa kutoka jengo lililoporomoka Bungoma

Sehemu ya jengo hili ilikua imebomolewa na serikali ya Kaunti

Wakazi wanataka sehemu zilizobomolewa kulindwa

Paul Kirobi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Kituo cha kudhibiti majanga nchini – NDOC kimekanusha madai kwamba bomoa bomoa inayoendelea inalenga wakenya wanaoishi mitaa ya mabanda jijini Nairobi.

Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Serikali imetangaza kuwa nguvu za kimbunga Hidaya zimekwisha kwenye pwani ya Kenya. Idara ya utabiri wa hali ya anga imesema hayo mapema leo. Hayo yakiarifiwa, mvua nyingi inatarajiwa kuendelea kunyesha katika kaunti 37.

Andrine Kilemi George Maringa

account_circle