UVCCM TZ
@uvccm_tz
Official account for the Youth League Arm of Tanzania's Rulling Party - CCM (The Revolutionary Party). Established: February 1, 1978. Enquiries: [email protected]
ID:719970161382580225
https://ccm.or.tz 12-04-2016 19:27:17
8,6K Tweets
39,4K Followers
38 Following
Asanteni SINGIDA. Hakika hii ni NGOME ya Chama Cha Mapinduzi.
#TunaendeleaNaMama
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu imefanikisha ujenzi wa Shule ya Msingi Neema iliyopo Wilaya ya Siha ikiwa na madarasa 7, ofisi za walimu 4 na matundu 12 ya vyoo.
Hapo awali wanafunzi walitembea umbali wa kilomita 10 kwenda na kurudi shule.
🛑 BILIONI 97.178 KUTUMIKA UJENZI BARABARA YA IFAKARA-MBINGU*
Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu imetenga kiasi Cha shilingi Bilioni 97.178 kwa ajili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5
Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Uongozi wa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imepunguza faini kwa bodaboda kutoka shilingi 30,000 kwa kosa Moja hadi shilingi 10,000.
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
#TunaendeleaNaMama
#Kaziiendelee
Balozi Nchimbi: “Msijigeuze ‘miungu watu’ kukalia mafaili ya watu” #TuaendeleaNaMama #VitendoVinaSauti 🇹🇿 x.com/ccm_tanzania/s…
Vijana wa Makundi mbalimbali, Vyama vya Siasa, na Asasi za Kiraia kukusanyika Dodoma katika mdahalo wa Kitaifa Ulioandaliwa na Mbunge wa Vitu Maalum Mhe Nusrat Hanje kuhusu Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Mhe Dkt Samia Suluhu kuhusiana na Utekelezaji wa Ajenda za Vijana.
🌍🌍MEMA YA DKT SAMIA SULUHU HASSAN
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
#TunaendeleaNaMama
#Kaziiendeleee
Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa
Rais Samia Suluhu akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliowahusisha Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 11 Mei, 2024