zuhura yunus(@venusnyota) 's Twitter Profileg
zuhura yunus

@venusnyota

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais -Ikulu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania/Director of Presidential Communications @SuluhuSamia, President of Tanzania.

ID:126013535

linkhttp://ikulu.go.tz calendar_today24-03-2010 15:27:04

29,0K Tweets

234,8K Followers

481 Following

ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Fuatulia namna mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere na safari ya mageuzi ya kuleta umeme wa uhakika kwa Watanzania.Hii ni

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Katika Kipindi cha Pili cha -SS, tunaangazia uwekezaji, utekelezaji na maendeleo ya mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere. Hii ni -SS

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, Kenya ili kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.21 wa IDA

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, Kenya tarehe 29 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mawaziri wa Kenya Musalia Mudavadi mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Ua mara baada ya kupokelewa na Watanzania Waishio Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea baada ya kuwasili Nairobi, Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Bibiana Joseph Kileo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024.

zuhura yunus(@venusnyota) 's Twitter Profile Photo

Ungana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu katika kipindi kingine cha SONGA NA SAMIA (SS) ambapo mara hii tutaangazia mradi wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere. SS itaruka Jumapili hii 28 Aprili saa tatu usiku.

account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Usikose kufuatilia KIPINDI CHA 'Songa na Samia', SS katika TV mbalimbali. Leo tarehe 28 Aprili, 2024 kinaangazia Mradi wa Kimkakati wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere.

account_circle